Search results

  1. billtheKID

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Hongera mkuu! forumyangu ni hali gan ya hewa nzuri kwa mikorosho kukua vizuri!
  2. billtheKID

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    BTCXCHANGE Inaaminika !? Kwa kuuza na kununua Bitcoin.!? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. billtheKID

    My shop software - Mfumo wa usimamizi wa biashara yako

    Mkuu kwa io hio system kuna namna ya ku-maneuver TRA waone chenga!?? Au issue ni kutoingiza baadhi ya stock ku bypass system!?? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    CDS account ni moja,,ila mfano ukinunua BOND kwenye commercial banks wanatoa CDS ID #..kwa ninavyoelewa labda kama kuna mabadiliko Nilinunua bond za NMB mwaka jana certificate yangu inaonesha CDS ID # Sent using Jamii Forums mobile app
  5. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Mtu yupo ila kumjoin humu afundishe n vgumu,,kinachotakiwa kama mpo wengi na mnahitaji kujifunza hii ktu mnaenda kuomba appointment kwa mtu wa finance BOT atawafundisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Mkuu kwa io pesa uko sahihi kwa upande wa interest ila kumbuka kuna faida umeiacha ya discount baada ya bid price yako kuwa successful kwenye mnada,,kwa upande wa malipo sheria znasema utalipwa kila baada ya six months hapo utalipwa half ya 27m six months apart boss!.. Sent using Jamii Forums...
  7. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    For those who interested,treasury bond issuance calendar ya mwaka huu wa fedha. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    We uliye invest umefaidika vipi !? Tupe mrejesho ?? Ila kama unaongea vtu usivyovijua ni bora kukaa kimya! "Uwoga wako ndo umaskini wako" Sent using Jamii Forums mobile app
  9. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Boss ukiuliza humu tutawasaidia na wengine pia tunaweza pata michango ya wazoefu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Hii ni tangazo la auction,limeonesha na kiasi cha pesa BOT inazohitaji ukiangalia hapo kwenye competitive na non-competitive then maelezo mengine yanaeleweka. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Hizi ni result za bills ya hio date iliyotajwa ukiangalia hapo kwenye number of bids(yaani idadi ya walioshiriki kwenye auction) then kuna successful bids (hawa walioshinda) then kuna highest na lowest bid price( hizi ndo range ya discount walizoomba washiriki) then kuna minimum successful...
  12. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Ni kweli kabisa mkuu yaani ni pesa ambazo hauzitolei jasho ,, ni subira yako tu . Sent using Jamii Forums mobile app
  13. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Soma hii thread vzuri pamoja na ile ya bills. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Boss umeshawahi kuwekeza au unaongea out of nowhere! Hii ktu ni official kuna rules na operation guidelines!..hv vyote vnakulinda wewe mwekezaji kisheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Boss huo ni mfano tu,,nimesema faida itategemea kama umewekeza either kwenye bills or bond pamoja na discount uliyopata baada ya kushiriki kwenye auction na kushinda. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Mkuu kuna post nieleza tofauti ya bills na bond kwa time frame pamoja na interest!..jaribu kucheki post za nyuma. Kufaidika itategemea ulikuwa successful kwa bid price ipi baada ya kushiriki kwenye mnada. Mfano; kama umefanikiwa kupata discount ya Tsh 100 ya serikali kwa 70.0000 ina maana kama...
  17. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Bankers wengi hawajui hizi issue ni top secret,wanafichwa na wakubwa wao na hata ukitaka wakuunganishe ushiriki kwenye auction watakwambia hatufanyi maana hawataki kupoteza wateja kwa kuwa wao hawafaidiki, ila karibia bank zote zimethibitishwa na BOT kusaidia customers wake,.Nilijaribu kipindi...
  18. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Web ni ya bank of tanzania na magazeti ni uhuru na the citizen kila ijumaa tangazo la t bills au bond linatoka.Iko hivi kama week hii waki-issue bills basi next week ni bond. Karibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. billtheKID

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Watu wa bank wengi hawaelewi hz issue!..ukitaka maelezo zaidi cheki mtu wa finance branch yyt ya BOT iliyo karibu na ulipo boss! Shukran. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom