Search results

  1. banned do

    Uchaguzi 2020 Hata uchaguzi wa 1995 ambao vyama pinzani vilikua dhaifu kuliko CCM bado vilipata wabunge na madiwani

    Wakurugenzi na wasimamizi wote walikuwa na maelekezo kutoka kwa Magafool
  2. banned do

    Muda sahihi wa kuiweka Dar es Salaam kwenye “lockdown” ni sasa

    Kumbe hujui kwanini babaako kakimbia Dar?Ngoja Bashite naye awakimbie ndio mtajiongeza. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. banned do

    Mamlaka za Tanzania haziko makini kupambana na Corona, inakuwaje mgonjwa anatua JNIA anakwenda Mwanza na hakuwekwa karantini?

    Tanzania ina wapuruvu rongi wazungu!Huu ugonjwa hapa kwetu umeshakatwa mkia.Asante Magu kwa maamuzi magumu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. banned do

    Jinsi wazungu wanavyotuwazia

    Africa Fungu la kukosa,elimu na dini ndio pingu walizotumia kutufunga.Huwezi kutumia elimu ya mzungu kushindana na mzungu(Kutatua tatizo kwa akili iliyosababisha tatizo) Sent using Jamii Forums mobile app
  5. banned do

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yakana kufunga mipaka

    Itakuwa ni agizo toka juu kwa jiwe lililoinuka pale Dom. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. banned do

    Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

    Ameshasahau kipindi kile alivyotoka kwao Ifakara kwa msaada wa lift huku akiwa amefunga nguo kwenye kanga. Picha zake tunazo. nzagambadume, Sent using Jamii Forums mobile app
  7. banned do

    Mwaka wa uchaguzi umefika, tusishangae sana

    Namuona Waziri wa Maliasili akiwa jodging maeneo ya Nzega huku kitongo na uzunguni.Anaanza kuandaa mazingira. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. banned do

    Waandishi wa habari wa Tanzania, Hoja kuu ya Mkapa ilikuwa nini?

    Hata viongozi wetu wakubwa hawana elimu ya kuongoza.Sasa sijui tutang'ata wapi maana naona hii embe imeoza kila upande.
  9. banned do

    Mfalme akasema atafutiwe vijana wenye akili na Maarifa

    Huyu Fungo atuachie Chama chetu.
  10. banned do

    Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

    MMENIKUMBUSHA SIKU WATENDAJI WALIVYOITWA NA MWENYEKITI WETU KWENDA KUKA SAMBUSA PALE MAGOGONI.HAKUKUWA NA JINGINE ZAIDI YA KULA SAMBUSA ZA NYAMA TU.
  11. banned do

    Mjadala huru: Je, ni nini imekikumba Chama Cha Mapinduzi?

    Wazungu husema''charity begins at home''.Kama CCM wenyewe kwa wenyewe hawapendani tofauti na CCM tuliyoizoea unategemea matokeo gani?
  12. banned do

    CCM ya sasa inatuaibisha sana, bora kujiweka pembeni!

    Mimi mwenyewe ninaona aibu sana maana hapo zamani tulikuwa tunaingia kwenye uchaguzi bila hofu na wapinzani walikuwa wana uhuru wa kutosha.Sasa leo hii pamoja na kuwabana bado CCM inawaogopa!Yaani mtu kafungwa kamba halafu unaogopa kupigana naye!Mambo ya Mohammed Ali haya.
  13. banned do

    CCM asilia hatukubaliani na yanayoendelea katika chama

    Mimi nimechoshwa kabisa na uoga wa chama chetu.Sijawahi shuhudia tangu niijue CCM.
  14. banned do

    Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?

    Haha mimi ni CCM lakini sina mpango.
  15. banned do

    Uvinza, Kigoma: Waziri Kangi Lugola ataka dhamana zitolewe hadi siku ya Jumapili

    Akimaliza huko aingie kwenye upande wa askari wa barabarani.Wenye haki ya kupita na magari mabovu ni wale wanaoombwa rushwa na kutoa haraka.Wale wasiojiongeza huishia kuwekwa ndani.Mimi huwa natoka Kahama kazini na kuelekea nyumbani kwangu Bugarama(Kakola),ninekuwa nikishuhudia haya matukio mara...
Back
Top Bottom