Search results

  1. J

    Mrema awaponda CHADEMA live Bungeni

    Kuna wabunge ukisikia wanatajwa kwenye orodha ya kuongea inabidi ikifa zamu yake ubadilishe channel kwanza mpaka amalize bcse the end of the day atakuboa tu! mmojawapo ni huyo Lyatonga. Ameshachoka kisiasa akapumzike
  2. J

    Ya Ridhiwani na mahakamani yameishia wapi?

    Habari ya leo wana JF wenzangu, najua kwa sasa macho yote ya watz yapo kwenye suala la posho na tumesahau kabisa kuhusu mkwara aliowachimba DK. Slaa na Mch. Mtikila, ninachojiuliza ni mbona alitoa siku saba na kwamba wasipomuomba msamaha atakwenda mahakamani, mpaka leo siku saba hazijafika au...
  3. J

    LEMA: Ni maandamano tu, hakuna kurudi nyuma

    *Originally Posted by*kazuramimba* huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan. Mkubwa inaonesha wahuni hujawaona...
  4. J

    Waraka wangu kwa Wabunge CHADEMA

    Kwa ukweli sasa hivi CDM wakiongea lolote lile haliungwi mkono kwa namna yoyote ile, so kilichobaki ni kitu kimoja tu, mwenye akili aelewe na kufahamu nia ya CDM then tutakutana kwenye uchaguzi 2015
  5. J

    Kikwete na semina elekezi kwa Mawaziri - Dodoma 2011

    Kama semina elekezi ya kwanza haikuleta tija, ya pili ya nini? yaani mgonjwa anahitaji kuongezewa damu lkn hata ile kidogo aliyonayo dokta anainyonya ndo hali ilivyo kwa JK na watanzania. It's for Tanzanianz to wake up, nafikiri MKOLONI MZUNGU NI BORA KULIKO MWAFRIKA:mod:
  6. J

    Mukama awakana akina Nnauye; Hakuna atakayeshughulikiwa ndani ya siku 90!

    I knew it kwamba mwisho wa siku itaelekea huku, bcse hata Mkuu alishasema kwamba mafisadi wana nguvu sana, so walipopewa siku 90 nilikuwa nasubiri kwa hamu nione kama hao mafisadi nguvu zao zimeisha, kumbe mafisadi bado wapo fiti?
  7. J

    Mateso ya watanzania u.s.a

    Inasikitisha, inatisha pia inakatisha tamaa, kumbe viongozi wetu ndo wakatili kiasi hiki? mwisho wa siku mtu kama huyu na kashfa kubwa kama hii, atabidilishiwa kitengo tu, ila hatachukuliwa hatua yoyote
Back
Top Bottom