Search results

  1. Che mittoga

    Ningekuwa na karama ya kulaani ningelilaani Italia (Roma) kwa kusababisha usumbufu kati ya Myahudi na Muislam

    Uislamu umeiga karibu kila kitu toka kwa waanzilishi wao Wakatoriki. Tasbihi = Rozali Azana = Kengele Ramadhani = Kwaresma Zakat = Zaka Sanamu Jiwe jeusi = Sanamu Uzza, Lutta na Manata = Maria Katekisimu = Qurani Kanzu = Kanzu Kofia = Kofia Papa = Muhammadi Udi na Ubani = Udi na Ubani Jumapili...
  2. Che mittoga

    Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Kwa sasa Zanzi bar bila Muungano hakuta kalika. Tatizo linajulikana
  3. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Ni Cansa ya Dunia. Angola wameupiga marufuku huo upuuzi.
  4. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Wenzako wanashangilia huko Hamas kashinda vita. Wewe sijui ni Mwarabu wa wapi.
  5. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Asante mkuu kwakuwa mkweli. Ila kuhusu hao. Kwanza hawa watu hawajitambui kuwa wana nafasi gani kwenye hii dunia. Pili wanachojua wao ni kuwa ndugu zao ni hao wa katika imani tu. Kwahiyo madhira wanayoyapata watu wa imani tofauti na yao hawana habari nayo kabisa. Wako radhi Waafrika wenzao...
  6. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Leo wanawategemea vijana wa Marekani waandamane kushinikiza vita ya Gaza isitishwe. Wasomi wa nchi za Kiarabu wanakula tende tu hawana habari za maandamano ya kusitishwa vita Gaza. Mamlaka ya Hamasi ilikaa na kuridhika kabisa kufanya vita na Israeli. HIvibhawakufikiria madhara yake (nini...
  7. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Kwahiyo Hamasi walikuwa wanachagua kuuwa watu wazima tu. Zile risasi na makombola yao yalikuwa yanauwa watu wazima tu Ndivyo unavyotaka kusema hapa Mauaji ya Gaza wakulaumiwa ni Hamasi. Unamchokozaje anayekuzidi nguvu halafu unaanza kulialia bila sababu. Haya sasa maelfu ya wanagaza wanauliwa...
  8. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Kwani chanzo cha vita hii inayoendelea Gaza ninini hasa. Israeli wanalipiza kisasi cha kuuliwa na kutekwa watu wao na Hamas. Hamasi na Israeli wakatangaza vita kwa makubaliano yao. Vita inaendelea hamas wanauwa waisraeli na waisraeli wanauwa wapelestina. Wewe unakuwaje upande mmoja? Hamas kama...
  9. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Uliwahi hata sekunde moja kuwalaani Hamasi kwa kitendo chao cha kuuwa watoto wa Israeli wasio na hatia ? Kama sio, leo huruma yako inatokea wapi? Au unaongea kama Mwanafamilia wa mji wa Gaza ?
  10. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Kwanini hukuwalaani Hamas walipo uwa watu wakiwemo watoto wasio na hatia kule Israeli ? Nikikuwekea hapa vitendo vya Ushoga vya kiongozi wako mlivyoviandika wenyewe utakimbilia kuwaambia Mods wanipige bani? Sema nikusikie nibandike hapa jinsi kiongozi wako alivyofanya vitendo vya kishoga hadi...
  11. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Weka hapa mahali nilipofurahia na kushabikia mtu yoyote kuuliwa bila hatia. Mimi kwanza niliwashutumu Hamasi wewe ulikuwa kimya kabisa. Leo watoto wasio na hatia wa gaza wanauliwa ndio unajitokeza shimoni kulaani. Mnafiki mkubwa wewe Watoto wako Gaza pekee? Hivyo vyote ni vitendo vya Kigaidi...
  12. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Uha We sema uharo wakati watu wanaendelea kuuliwa huko Gaza. Nakukumbuka wewe ni kati ya waliofurahia vitendo vya hamasi vya kuuwa Waisreli wasio na hatia. Leo unalialia nini humu endelea kufurahia kama mwanzoni pale. Mnasema eti hamasi kashinda vita. Vita gani wanashindwa kuzuia vitendo vya...
  13. Che mittoga

  14. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Mimi nalaani mauaji yoyote ya watu wasio na hatia Nawalaani Hamas na Israeli kwa walichokifanya. Wewe sijawahi kukusikia ukiwaalaani Hamasi hata siku moja Huwa unalaani wakiuliwa Waarabu tu na ndi akili zako zinavyokutuma Ndipo tunapotofautiana.
  15. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Siku nyingine muwe mnakemea chokochoko zozote zinazopelekea watu wasio na hatia kuuliwa bila sababu. Na sio wanapouliwa Waarabu tu.
  16. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Hapo ni nani hasa wa kulaumiwa? Kati ya HAMAS, ISRAELI NA MAREKANI ?
  17. Che mittoga

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Hao wanafunzi mbona hawakuandamana siku watoto wachanga wa Kiisraeli walipouliwa na HAMASI ? Au hao sio Binadamu ? Kuna watu hadi leo wanashangilia mauaji yaliyofanywa na na HAMASI siku walipo ivamia Israeli na kuua watu wasio na hatia. Tukiwaambia kuwa kuiua roho yoyote ile bila hatia ni...
Back
Top Bottom