Search results

  1. I

    CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Hawa ni Marais wastaafu ambao walikuwa wawili na sasa kabaki moja Kikwete na wenza wa Mwinyi, Makamu wa rais mstaafu mmoja Dr. Ghalib Bilal, mawaziri wakuu wastaafu walikuwa saba baada ya Lowasa wamebaki sita lakini tunagharimia mwenza wake Lowasa.. Walio hai ni Salim A. Salim, Msuya, Warioba...
  2. I

    Sakata la DP WORLD bado kizungumkuti, Mbunge Luhaga Mpina ahoji uhalali wa Mkataba Bungeni

    Katika bunge hili hakuna mwingine kama Luhaga Mpina. Kuna wakati huwa najiuliza hivi huyu ni mbunge wa CCM kweli! Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  3. I

    Ikiwa mkoloni hakumfunga Shaaban Robert, ndio kusema bora ya mkoloni kuliko Rais Samia?

    Waingereza walimenzi na kumtunuku nishani ya MBE yaani Member of the British Empire. Viongozi (watawala) wetu wanapenda sifa kukosolewa kwao ni uchochezi. Wao ni miungu watu hawakosei. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  4. I

    Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

    Rais wa Tanzania ni mungu mtu haiyumkiniki kwake kuomba radhi. Toka lini Mungu akaomba radhi. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  5. I

    Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Inasikitisha sana kwa kiongozi wa nchi alieapa kuihifadhi na kulinda katiba akitoa kauli za kuidharau. Ni sawa na askofu kuidharau biblia au sheikh kuidharau Koran tukufu. Haishangazi kuona nchi inaendeshwa bila ya kufuata katiba.
  6. I

    Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

    Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu. Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!? Mama anataka kutulazimisha aendelee kutuongoza bila ridhaa yetu. Anazingumzia wananchi kuburuzwa haoni...
  7. I

    Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

    Kusema katiba mpya isiandikwe kabla ya elimu kutolewa ni sawa na kusema mwanafunzi alielimishwe kabla ya kujua kusoma. Nyere alipodai uhuru watanganyika wangapi walikuwa wanajua hata maana ya uhuru wenyewe? Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  8. I

    DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

    Ni kiinimacho hawataki lawama. Kilingana mkataba wa DTW wao watakuwa na mamlaka ya mwisho ya kumtangaza mshindi. TPA ni kipaza sauti tu. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  9. I

    Mchengerwa, WaTanganyika hawatakusahau...

    Sasa naelewa sababu Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  10. I

    Mchengerwa, WaTanganyika hawatakusahau...

    Anafuata na kutii maagizo Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  11. I

    Yaliyofanyika Chato yatafanyika zaidi Kizimkazi, samaki ni wale wale kilichobadilika ni mapishi tu

    Kwani hujui kwamba hela ya budget inapangiwa na rais. Kama JPM aliweza kujenga uwanja wa ndege bila idhini ya bunge sembuse festival. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  12. I

    Yaliyofanyika Chato yatafanyika zaidi Kizimkazi, samaki ni wale wale kilichobadilika ni mapishi tu

    Nasikia na hospital inagengwa huko wakati afya haimo kwenye orodha ya wazara za muungano. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  13. I

    Nimewasilisha maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa

    Huu ni ushindi kwa Watanzania hongereni sana wabunge. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  14. I

    Waislam tuache kupambana na TEC,mbaya wetu huyu hapa

    Aliyewafunga masheikh wa uamsho ni Kikwete muislamu Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  15. I

    Mbowe, Lissu: Rais Samia amegawa Maliasili za Taifa bila Bunge kushirikishwa

    Na amekuwa silent hasa maana pamoja na shutuma zote hizo na kwa uzito wake hajathubutu kujitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi. INASIKITISHA. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  16. I

    Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

    Hongera umetuelimisha baadhi ya waislamu mungu akubariki sana.
  17. I

    Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

    Kwa bahati mbaya maelezo haya yanawahusu wabunge wengi pamoja na maprofesa wetu. Tunawalipa hela nyingi kwa kazi ya kuchapa usingizi bungeni. Wabunge pekee waliojitambua ni Luhaga Moipina na Halima Mdee. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  18. I

    Zitto akiwa Jijini Arusha leo, hakuna kuongea wakati wa kula

    Zitto alikuwa anaweza kukaa na Hayati Mzee Mkapa hata masaa matatu wanajadili mambo mbalimbali, Mdude umuweke na Mkapa wangejadili nini Uko sahihi Mdude hawezi kukaa meza moja na mwuza nchi Mkapa kwani yeye ni mtetea nchi na rasilimali zake wakati Zotto anafanana na Mkapa kwa kuuza nchi na...
  19. I

    Ni kweli bado tunawahitaji wabunge?

    Wabunge vilaza hawajui wajibu wao
  20. I

    Tetesi: Waliowapa DP World Bandari ndiyo haohao waliwapa TICTS mkataba ndio hao hao wezi bandarini

    Hapa hujaweka IPTL, ndege ya rais, radder, Meremmeta, Kagoda, Escrow, Dowans, uuzaji wa NBC na makampuni mengine. Tumepitia kote huko kwa uchungu na madhara makubwa kwa nchi yetu. Matokeo ya yote hayo ni kudumaa kwa uchumi wetu. Wakati tunapata uhuru hadi mwaiaka ya 80 shilingi yetu na ya Kenya...
Back
Top Bottom