Search results

  1. CHE Raptino

    Amechoka kunivumilia anataka kuniacha!

    Wakuu habari za muda huu? Naomba niwashirikishe hii changamoto tunayoipitia kati yangu mimi na mzazi mwenzangu! Ni muda wa miaka sita tangu tulipofahamiana na mama wa mtoto wangu, maisha yetu yamekuwa ya furaha na amani. Mwaka 2014 nilipata nafasi ya kujiunga shahada ya kwanza katika...
Back
Top Bottom