Search results

  1. Negan The Dead

    Makonda: Kuna gazeti moja kazi yake ni kunichonganisha

    Huyu jamaa ni sifuri kabisa.Sasa gazeti na eneo ambalo ni pori kuna uhusiano gani?Yaani navyoona wasomi wanaumia mtaani na huyu Bashite anadunda mtaani kisa ni Msukuma napatwa na hasira sana.
  2. Negan The Dead

    Mwenyekiti wangu wa CCM na Rais wa JMT, Dkt. Magufuli tafadhali mkemee haraka Cyprian Musiba

    Musiba amepewa list na BAshite na kwa uwezo wa Bashite hawezi kujua tofauti ya FBI na CIA.
  3. Negan The Dead

    Nchi hii Imekosa Wazee Kukemea Mauaji?

    Rais anamsikiliza Pengo tuu, wengine hao wanawashwa washwa. Kikwete mke wake kapewa ubunge, na yeye kapewa ukuu wa chuo hapo unategemea nn?
  4. Negan The Dead

    Aida Olomi na mahabusu wanaouguza vidonda vya risasi Polisi Osterbay bila kupelekwa hospitali, Polisi kuweni na utu

    Hao polisi wengi wao ni form four failures na vyeo vvingi ni vya kupewa ndio maana wanaogopa kufanya maamuzi au kazi kinyume na aliyewapa ulaji.
  5. Negan The Dead

    Ufisadi wa wizi wa Kura, Uuaji, Utekaji, Kutokaka Kushauriwa ni Mbaya kuliko Ufisadi wa Hela

    Serikali haina busara ndio maana inafanya chochote kinacho kuja mbele bila kufikiria athari za baadae. Hakuna kipindi tumegawanyika kama sasa, kweli alieshiba hamkumbuki mwenya njaa.
  6. Negan The Dead

    Chama kikifutwa hatima ya wabunge na madiwani wao inakuwaje wanaendelea au ndio mwisho wao?

    Na awamu hii isivyo na busara, itafuta kweli hiki chama. Maana kila mtu anafikiria kibashite bashite.
  7. Negan The Dead

    Makambako, Njombe: Mwandishi ashikiliwa na Kikosi Kazi cha TANESCO. Akabidhiwa Polisi na kuachiwa kwa dhamana...

    Labda ile ya kukuta back-up generator kwenye office ya Tanesco.
  8. Negan The Dead

    TANZIA: Diwani wa CHADEMA Kata ya Namwawala mkoani Morogoro auawa kwa kukatwakatwa mapanga

    Nchi inaelekea kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe tusipokua makini.
  9. Negan The Dead

    Kampuni ya ACACIA ipo kwenye Mazungumzo na Kampuni ya Kichina ili iwauzie Mali/hisa zake zilizopo Tanzania

    Kashawekwa mfukoni anapiga pesa zake kimya kimya.Nchi yetu haina watetezi bali kila mtu anatetea tumbo lake, akipata anatulia.
  10. Negan The Dead

    Wakurugenzi wa halmashauri nchini kuwaondoa watumishi wa umma ambao hawana vyeti vya elimu ya Sekondari

    Chuki na wivu tuu, wamuondoe Bashite kwanza ndio wawafuate watumishi wanyonge ambao Rais hujinasibu kuwatetea kila kukicha.
  11. Negan The Dead

    Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz

    Nasikitika sana kua wasukuma wanaliharibu taifa hili na wewe ukiwa kama mwandishi mkubwa wa habari umeamua kukumbatia uzembe. Umeona kasoro kubwa na nzito za kutokuwaruhusu mawakala wa Chadema ndani ya vituo,kuibwa kwa sanduku la kura ambapo imeonyeshwa live na itv na kupigwa na kamata kamata...
  12. Negan The Dead

    Makonda: Kuna gazeti moja kazi yake ni kunichonganisha

    Madamu anakamata madawa ya kule baba yake kasema aendelee kupiga kazi.
  13. Negan The Dead

    Naibu Spika Dkt. Tulia afunguka mazito kuhusu matibabu ya Lissu, asema hakuna double standard ktk matibabu ya wabunge

    radika Speaker hovyo sana.Sasa anadhani yeye ataishi milele hapa duniani?
  14. Negan The Dead

    Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa: Alichofanya Makonda ni kitendo cha kinyama

    Huyu Bashite kama ni mwanaume kweli aonyeshe cheti cha form four.Kushindwa kufanya hivyo ni dhahiri yupo hapo kama kibaraka wa baba yake na siku akiondoka wataondoka wote.Ahakikishe ana mwambia baba yake atengeneze kinga na kwa ma RC pia kabla hajaondoka madarakani.
  15. Negan The Dead

    Serikali yaomba mkopo nafuu Barclays bank ili kukamilisha miradi ya reli ya Standard Gauge na umeme Stiglers Gorge

    Na walivyokua wanatudanganya kua serikali inapesa ya kujenga SGR?Tatizo serikali maneno mengi kuliko vitendo.Mbona Mh Kikwete alikua anatekeleza miradi mingi kimya kimya bila majigambo?Tukubali kua tunarudi nyuma sana na hii wamu ya 5.
  16. Negan The Dead

    Mw. Nyerere, Video: Watu hawawzi kusema wanamaendeleo kama hawana Uhuru:

    Wayatoe wapi?wanajivunia kibomu chao ila ni njaa tupu.
  17. Negan The Dead

    Yanayoendelea Mwanza kwenye Kampeni ya Udiwani

    Duh...Siku ccm ikichokwa Mwanza Sizonje na Bashite chali.
  18. Negan The Dead

    Lumumba: Magufuli siyo dikteta, ni mzalendo

    Huyu mzee atakua alisoma na Dr Mugabe.
  19. Negan The Dead

    TRA kwanini mnawanyanyasa wafanyabiashara kiasi hicho?

    Utawala wa Bashite wala sishangai.
Back
Top Bottom