Search results

  1. N

    Uhusiano kabla ya ndoa

    Je, unapoanzisha sex kabla ya ndoa halafu mwenza wako akakwambia ana ujauzito na mkapima na kuthibitisha na kukuta ni kweli ha'fu baada ya miezi 7 na nusu, kwenda clinic na kupima mimba ina miezi 5 na wiki 1 wakati amepata mimba mmeshiriki sana tendo sana je mimba hiyo utaithibitishaje kua ni...
  2. N

    Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

    Kwa kawaida busu la mafanikio hubusiwa usoni, busu la amani hubusiwa mashavuni, busu la upendo hubusiwa mdomoni, busu la mapenzi hubusiwa shingoni, Je wapi nikubusu ili ulale kwa raha sweet ?
  3. N

    Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

    Naitwa Nditeze Aron nipo KIGOMA ebwana me mwenyewe sms zinanijenga kwani niki4ward kwa demu ananikubali kishenzi, ongeza ziwe nyingi.
  4. N

    Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

    Nina diploma ya kukujali degree ya wivu master ya ubunifu phd ya mapenzi na ninaweza nikawa mzoefu kazini je nitapata ajira kwako?
  5. N

    Muitaliano na Changu wa Kibongo

    Huyo mutaliano aende kwa babu au bi magreth tbr
Back
Top Bottom