Search results

  1. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😆😆😆😆 haya makombe mnayosubiri mnasubiri wapi!, Yaani toka kipindi cha wenger mnatengeneza team, hapo katikati tumeshuhudia mpaka Leicester kabeba kombe . Nakumbuka mzee mmoja tunaangalia game akasema Arsenal hawezi kubeba kombe sababu makombe ni mazito 😆😆 hakuna anayeweza kunyanyua kombe ...
  2. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mwisho wa siku pamoja na GD nyingi bado mtatoka trophyless mkijazana ujinga wa tupo false 4( phase 4) mara false 5 kutakuwa hamna tofauti kati ya position ya 2 na 10 then tutaangalia individual performance nadhan hamna aliyemzidi isak timu au trippier timu yako nzima.
  3. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Humu nilikua siingii kabisa nilikuwa naangalia game nawakumbuka basi nacheka mwenyewe. Yule false hopers aliwaaminisha mnacheza final wembley na akasema UEFA ni kombe rahisi kubeba ma false hopers mnafurahia kweli kupewa false hopes, haya kiko wapi ? tuliwaambia mpaka sasa mlikua hamjakutana na...
  4. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    False hopers mpo😆, kitambo sana asee nitangulize polee kwa kutolewa uefa na bayern ( timu tuliyoambiwa ni mbovu na bwana yule ivi bado yupo haha). Wakati hayo yakiendelea group tuliokua Newcastle timu zote 2 zipo Semifinal, kifupi one of the team inaenda final
  5. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nipo mkuu ni mambo tu yalikua mengi hapa kati , tunashukuru mungu kwa uzima na afya. Nimerudi mkuu nilimiss sana hopes za humu pamoja na kuwatazama false hopers , nimerudi tumalize hii last chapter ya kitabu hiki cha ma false hopers kama mnavyojua wenyewe " ALL or NOTHING" nadhani unajua...
  6. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    False hopers sina neno, hongera kwa kufika 1/4 after 14 years. Sisi tunasubiri na tunajua mnatoka empty hands ni suala la muda tu. Tamba wewe kwa sasa.
  7. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    position si wanacheza mmoja , ungeniambia hichi na hichi kazidiwa maana kwa sasa sina nguvu ya kuongea nimekuachia wewe lakini hunionyeshi walichomzidi gordon nitafutie viwili tu. Tuangalie Mpira kwanza , nguvu ya kuwafananisha mimi sina unayo wewe 1 place .
  8. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tatizo huangalii gemu yoyote ya Newcastle, Sisi tumekubali for this season tayari tumechoma ila tupo under process tutafika tu nchi ya ahadi. Position anayocheza gordon pale Newcastle iangalie then useme martinelli/ trossard kamzidi nini assist / goals ? pamoja na team kuwa mbovu. Najua kwasasa...
  9. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😆😆😆 False hopers sasa hivi wana moto mpaka cha kuongea hatuna ila nilizimiss false hopes za humu ndani hatari
  10. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Gordon ana ubaya gani? wachezaji wangapi pale Arsenal wamemzidi goals? Sijawahi kuona ubaya wa gordon so far. Ndo maana nikasema kwa sasa sina cha kuongea nitakueleza nini false hoper muda huu upo katika kilele cha false hope . Hongera kwa kuchukua EPL NA UEFA 😆. Magpies tupo mtaa wa 10...
  11. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    False hopers mpo katika kilele cha furaha ya FALSE HOPE . Mnatamba wenyewe tu humu tutawaeleza nini wakati mnaongoza ligi 😂. Lakini muda ndo umeanza kufika kuelewa ni kwanini mnaitwa False hopers. 10 games to go !!!! Nilimiss sana jukwaa hili la vituko na kila aina ya hopes hatimaye...
  12. Labyrinth 84

    Newcastle United Football Club special thread

    ITS A JOURNEY AND ITS A BEGINNING.
  13. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Beki mzoefu mwenye assists nyingi kuliko mchezaji yoyote wa arsenal pia hilo mbona huliweki. Anyway hivi pale st james mlishinda ngap?[emoji23][emoji23] mnajificha kwenye mgongo wa Tottenham naona ila mnasahau ubabe tuliowaonyesha pale st james. Naona unakesha ili PSG ashinde maana aki draw tu...
  14. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hakuna sehemu nimesema wewe ndo uliosema ,soma vizuriii tena kuna false hoper and senior false giver alisema hayo maneno so mkayameza kama yalivyo. Stress napata wapi na wakati mimi sio false hoper mkuu , nishakuambia hii thread ni kijiwe cha vichekesho na kupiga zogo. Tunafurahi kuwa hapa wala...
  15. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ungejua humu tunakuja kwasababu hii ni thread ya vituko na vichekesho plus false hopes. Humu huwa tunafurahi sana tunavyoona false hopes zinavyotolewa , kulikua na false hope mnamaliza kundi na point 18 ghafla zikapungua zikawa 15, jamaa akaapa na kuhakikishia kwamba lazima point 15 zifikiwe...
  16. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Labda hujui timu inayoongoza kwa ushindi mkubwa ni sisi pia Newcastle vs Aston villa 5:1 Sheffield vs Newcastle 0:8 Newcastle vs crystal 4:0 Newcastle vs chelaea 4:1 Majeruhi na wewe unajiita una majeruhi [emoji23][emoji23] kwa huyo partey na timber? Nikikuiliza unitajie wachezaji wa 3 wa...
  17. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mimi ninapita kwenye injuries kibao na still sijapoteana na madogo wanapiga ball la maana . Ngoja nikukumbushe dubarvaka sio first kipa lakini ndo anacheza saivi, njoo livarmento hapo central defender kuna botman , viungo kuna dogo anaitwa miley anakipiga na si first wala second choice .
  18. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyu utakuta humu akifunga unaambiwa ana finishing nzuriii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  19. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Juzi tu game na aston villa lineup ilitoka ukaanza lalamika sub ipo very weak . Nikakuambia siku si nyingi utasahau haya maneno yako utakuja na false hope nyingine. Unacheza na PSV tayari unaona timu yako ni kubwa😂😂😂 lakini mkicheza na watu wa maana malalamiko yanaanza . ONCE A FALSE HOPER...
  20. Labyrinth 84

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😂😂😂 njama ovu zitoke wapi ? Arsenal ndo timu yakufanyiwa njama kweli? Wachezaji wanajindondosha ovyo halafu mnataka foul au tuta! . Nyie nendeni kwenye draft labda mtaweza kidogo .
Back
Top Bottom