Search results

  1. M

    Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira

    Mwanzoni kabla ya uchawa kujengeka ilikuwa hivyo
  2. M

    KERO Barabara ya Temeke ni mbovu, wahusika hamuioni?

    Hizi hizi za dmdp 1!? Loh tulijengewa karata tatu
  3. M

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Aliokoka baada ya wanajeshi kutaka kumtoa kafara, early ninetyth issue ya bia za deals
  4. M

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Yes Kuna issue ma suppliers ya bia za jeshi that old days!! No further details
  5. M

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Sio mwenyewe na Wala hawana undugu, huyu ni muuza mbao maarufu mwenge na jina la leshaya limewekwa from tarakea Rombo, the other from Mkuu rombo
  6. M

    Halmashauri ya Jiji imeshindwa kumsimamia Mkandarasi kuzoa taka kwa wakati Mitaa ya Kariakoo

    Kitu chochote kuwepo sehemu sio mahala pake maana yake ni uchafu, Sasa uwepo wa biashara bila mpangilio tayari unaona maana halisi, hivyo ni vigumu sana kupata mazingira ya usafi kariakoo!! Cha muhimu sasa ni utashi wa kisiasa na mengine yafuaye!! Kwanza uongozi wa mkoa ujue maana ya uchafu na...
  7. M

    Taa za solar za barabarani kutokuwaka, hivi wahusika hawaoni?

    Fake products, 5 years design period life time 6 months, hakuna wa kuuliza
  8. M

    Taa za solar za barabarani kutokuwaka, hivi wahusika hawaoni?

    Tatizo kubwa wanapata mlungula Kwa wakandarasi, Badala ya kuweka original product mchina anaweka fake na sticker original
  9. M

    TARURA na Ubabaishaji

    Mipango miji ya nchi yetu imewekeza TARURA, ila Hawa watu ni mizigo, maengineer wao wanatembelea STN with zero delivery, my poor Country, ila waanzie Kwa mtendaji Mkuu huwenda ndio Hana vision
  10. M

    TARURA na Ubabaishaji

    Kuna professionals without Brain usage!! Hawa watu ni kikwazo sana Kwa ustawi wa miji yetu!! Hii ni aibu kubwa!! Kwa ujumla ujenzi wao hauzingatii weledi, ni Janga kubwa Kwa taifa!! Sijawahi ona taasisi inayopuuza taalumu kama TARURA!! Fikiria wanajenga barabara bila michoro, ramani, eneo...
  11. M

    Mbunge Mavunde kuwapatia meza na vifaa vya kisasa mama lishe wa stendi kuu ya mabasi Dodoma

    Uchafu maana yake ni kitu chochote kuwepo sehemu sio mahala pake!! Je maandalizi ya kuweka mahali pa kuweka hizo meza pamo!?
  12. M

    Kigoma: Kivuko chasombwa na maji kikiwa na abiria ndani. Moja ya abiria ni mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa

    Hapo ulipohusisha Dar na Hilo Janga ndio nimeshindwa kukuelewa!! Ku deal na watu laki Moja, na watu milioni sita lazima budget zitofautiane, na pia mtoaji mkubwa wa makusanyo lazima aone matumizi yake!! Pia nataka kujua huyo mwenyekiti ana roho tofauti na hao abiria wengine!?
  13. M

    Kwanini Ulaya haina majengo marefu kama ilivyo Asia Na America?

    Tujiulize tutaendelea kusifia vya wenzetu mpaka lini!? Basic plans tu za kufanya mtu afike nyumbani imetushinda!! Waziri anahangaika na vituo vya mafuta badala ya kuangalia tatizo lililopo mbele yetu!? Poor my country
  14. M

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Hiyo sio mbaya, ila Cha muhimu wazawa wapate engagement Yao, umeona wapi nchi inaendeshwa na wageni tu wazawa wanaonekana hamnazo!? Government share 49% Locals 15, operator in power kama ni foreign company 36% tufike mahali tujione hata wazawa tunaweza, na kweli tunaweza!! Wenye biashara ya Dala...
  15. M

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Waweke kwenye stock exchange watu waangalie njia Bora ya kuwekeza
  16. M

    Mbowe: Wabunge wamejiongezea Mishahara Kutoka Tsh milioni 13 za awali na sasa wanalipwa Tsh milioni 18 kwa mwezi mbali na posho

    Mwenye serekali anayependekeza kuongezwa posho ndio hajali watu wake, mpinzani yake kusema tuu
  17. M

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Kwa Nini asingeongeza nguvu kwenye issue za kupanga miji yenye wakazi wengi kama Dar es salaam na kuondoa makazi holela kuliko nguvu hizi anazotumia!? Kamalizana na Petro station Sasa karudi Huku Tena!?
Back
Top Bottom