Search results

  1. N

    Mgeja, tumechoka siasa zako za maji taka, lini utaachana na Sitta?

    hoja ya msingi ambayo tunapaswa kuizungumzia ni kwa baadhi ya viongozi ambao ni sehemu ya serikali kuisema serikali hadharani kwa kuwa maamuzi yao huyafanya pamoja na kama kusemana kuna utaratibu wao wa vikao kama viongozi wa kufanya hivyo sasa hii tabia ya akina sita kuisema serikali iliyoko...
  2. N

    Augustine Lyatonga Mrema: Ni popo, si ndege si mnyama

    mimi nilimwona mrema anashiriki kwenye kura na alisema HAPANA
  3. N

    MWENYEKITI WA CCM SINGIDA NARUMBA HANJE, AISHAMBULIA CHADEMA... kwa Kutumia kitabu cha dini

    huwezi kujadili hoja isiyokuwa na mshiko na iliyotolewa na mtu asiyefikiri na mwenye kukata tamaa
  4. N

    MWENYEKITI WA CCM SINGIDA NARUMBA HANJE, AISHAMBULIA CHADEMA... kwa Kutumia kitabu cha dini

    huyo mwenyekiti mwenyewe ni fisadi wa kutupwa na hafai kabisa katika jamii na hata c.c.m wilaya ya singida vijijini anakifanya kama mali yake na wateule wachache hivyo jinsi ya kuwasema wengine.
  5. N

    Mbowe ashikiliwa Central Police

    Ni jukumu letu sisi kama watanzania kuona kuwa wakati umefika sasa kuawaaminisha waliomadarakani kuwa uwepo wao ni kwa sababu ya umma na kuna siku umma ukiamua kila mahali hapatakalika,hivyo chondechonde watanzania tuamke na kusema sasa ndio mwisho wa kuonewa na kunyanyaswa.SABABU TUNAYO,UWEZO...
  6. N

    Mbowe ashikiliwa Central Police

    hali hii ya kuonewa itakomeshwa kama watu wataamua na kuungana pamoja na naomba wana-Arusha na wanaharakati popote mlipo mhakikishe mnamsaidia mwanaharakati mwenzetu ili watawala wajifunze vinginevyo ukombozi kwetu ni NDOTO MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WABARIKI WOTE WANAOPIGANIA HAKI.
  7. N

    Makamba: niko tayari kujibu matusi mkinihitaji

    Makamba atawezaje kujibu matusi wakati yeye mwenyewe tusi?
  8. N

    Dhana ya kujivua magamba na kubakia na vidonda

    ccm wanatakiwa kubadilisha hata damu kwa kuwa jinsi walivyo bado hawajabadilisha kitu.
Back
Top Bottom