Search results

  1. M

    Dr. Slaa, kwanini ulikalia kimya tuhuma za ufisadi wa mishahara ya wafanyakazi wa CCBRT?

    Dira ni gazeti la kuaminiwa???? kwanza halina hata mhalili
  2. M

    Napendekeza ujengwe mnara wa kumbukumbu wa Deo Filikunjombe

    RIP Deo Hata hivyo kwa ile nyumba ya kijichi, Mali nyingine alizozacha pamoja na gharama gharama za kukodi herikopta kw kampeni za kibunge nashawishika kudhani kwamba hakuwa mzendo kama nilivyokuwa naamini. Nchi hii nani ya CCM hakuna Msafi, wote ni wapigji
  3. M

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Tax holiday ipo kwenye sheria ipi? Nijuavyo mimi ni kwamba tax holiday ilikuwepo kabla ya mwaka 2004 na baada ya kuifuta sheria ya kodi ya MAATO ya mwaka 1973 na kuanza kutumika kwa sheriaya kodi ya mapato ya mwaka 2004 tax holidy nayo ikawa imeondolewa magufuri anaahid kufuta vitu alivyvifuta...
  4. M

    Kuinadi katiba mpya ndio silaha pekee ya Lowassa

    Nadani huna kumbukumbu nzuri wakati wa uzinduzi wa kampeni pale jangwani Babu Duni alisema moja ya vipaumbele vitakavyoshughlkiwa mpema zaidi ni katiba ya wnanchi pamoja na kuunda tume ya mardhiano ya kitaifa
  5. M

    Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    Mgufri amesema hatatembelea Helopter ili azijue shida za wananchi. Maaana yake nini?
  6. M

    UKAWA wanaweza kutumia muda wote kuwajibu Mkapa, Mwinyi na Makongoro

    Kweli wewe ni juha!!Alichokielze Magufuli hakina tofauti na kile alichokieza Mwinyi, Mkapa naKikwete wakati wana piga kampeni za kuingia ikulu. Kwa taarifa yako Mwinyialiitwa fagio la chuma
  7. M

    Mshindi wa kura za maoni CHADEMA ahamia Act-wazalendo

    Mimi nisingempa kura yangu alitumia pesa nyingi kushinda kura ya maoni.
  8. M

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Wengi wao ni wagombea ubunge!!! kwa muziki mnene wa UKAWA wataweza kujigawa na kushiriki kampeni za urais na ubunge kweli??
  9. M

    Pendekezo: Nyimbo na slogan ya UKAWA

    Heshima kwenu wapendamabadiliko nje ya CCM Katika kipindi hiki chakuelekea kampeni za uchaguzi mkuu inapendekezwa kuwe na slogan moja ya kuutambulisha UKAWA. Sasa hivi Chadema wanatumia peaples power, NLD - MotoMoto, CUF - Haki sawa kwa wote. Vile vile kuwe na nyimbo za uhamasishaji kwa jina...
  10. M

    Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

    Siyo kufukuza kazi funga Kabisa hiyo TV na Radio
  11. M

    Lowassa arudisha Fomu ya kugombea Urais Kupitia UKAWA, leo tarehe 1 Agosti, 2015

    Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwabaada ya hatua ya kuchukua fomu ya kuwania uteuzi wa ndani ya chama kugombeanafasi ya urais, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa kesho Agosti 1, 2015atarejesha fomu yake kwa ajili ya taratibu zingine za ndani ya chama. Shughuli hiyo itafanyika kuanzia...
  12. M

    Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

    Wanaukumbi habari ya jioni Naomba niwajulishe kuwa mimi ni mwanachama wa CDM na nina imani sana na Dr Slaa. Kutoonekana kwake katika matukio mawili makubwa kunanipa shida saana na hili la kumkabidhiLowasa fomu ya kugombea urais ambapo hajaonikana linanisumbua zaidi Ninaaminikuna wanachama na...
  13. M

    Kwanini Lissu, Mnyika, Slaa na wengine hawakuwepo kwenye mapokezi ya Lowassa?

    Katika gazeti la mwananchi imetaarifiwa kuwaLisu, Mnyika, Slaa pamoja na maafisa waandamizi wa CHADEMA hawakuhudhuria mapokeziya Lowassa Jana tofauti na ilivyokuwa katika mapokezi ya Lembeli na Ester Bulaya. Naomba mtujuze kama walikuwa na udhuru kwani hii si kawaida kwa tukio kama la jana.
  14. M

    Elections 2015 UKAWA na Lowassa unganeni mchukue nchi, wakati ndio huu, mkipuuzia huu ushauri basi tena!

    Hakuna anaye mkataa lowasa kuhamia UKAWA, ILA ujue kuwa kuhamia kwake hakutamfanya kuwa mgombea urais, ubunge na hata udiwani mpaka ataapotimiza mwaka kama mwanachama wa chama chochote kilichomo ndani ya UKAWA
  15. M

    CHADEMA chukueni tahadhari juu ya majimbo yote yaliyotengwa kwa CUF na UKAWA

    Wanajanvi Habari za asubuhi na niwatakieni kila la kherikataka sikukuu ta Idd ambayo kwa vyovyote vile itakuwa kesho Naomba nichukuee fursa hii kuwashauri CHADEMA kuwana plan B juu ya majimbo yote ambayo yametengwa na ukawa kuwa yatapangiwa kwaCUF. Dalili zote zinaonyesha kuwa kuna uwezekano...
  16. M

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Kwa kweli katuweka roho juu, ngoja tusubiri
  17. M

    Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

    Lowasa hawezi kwenda ukawa kwa sababu ni vigumu sana kuchangamana naye. Ukawa na Lowasa sawa sawa na mafuta na maji
Back
Top Bottom