Search results

  1. kajuna20

    Zijue Sifa na Majukumu ya Mkuu wa Mkoa kisheria hapa Tanzania

    Nimepata uzi kwenye fb unahusu moja ya vigezo vya kuwa mtumishi wa umma kwa DC .RC katika serikali ya 3 kuwa viliwekwa vigezo ila kimojawapo ikiwa ni lazima DC/RC awe na walau degree 1 kwa wanao jua zaidi tuwekeeni wazi imekaaje hii karibuni
  2. kajuna20

    Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!

    Wacha wamseme vyovyote sawa tu kuhusu yeye sio malaika umekosea nawewe kwanza yeye anajiona malaika hakosei ndomana hapendi kukosolewa yeye anajua kilakitu anaweza kilakitu mwache akae na bashite wake
  3. kajuna20

    Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Hiyo lazima tujiandae kwa hilo Kwani jk alipo staafu hakuacha tafiti na malengo ya badae na mikataba mezani? Au mkuu alipofika aliyatia kabatini akamua kuja nayake? Angeanza na tafiti za mwenzie angalie wapi afanyie kazi kupitia kwa mzee wake ingekua poa
  4. kajuna20

    Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Mtu mwenyewe ni mtukufu hashauliki ana ufunuo anachosema yeye ndo sawa hakosei yule kwanza from kachukua mwenyewe kilakitu anapanga mwenyewe hataki ushauli wa mtu
  5. kajuna20

    Kudra N: Rais Magufuli ameota mapembe, hamsikilizi yeyote

    Asante mkuu binafsi nimekuelewa msg sent
  6. kajuna20

    Kudra N: Rais Magufuli ameota mapembe, hamsikilizi yeyote

    Asante mkuu binafsi nimekuelewa msg sent
  7. kajuna20

    Ubunge Afrika Mashariki: Mgogoro Mzito ndani ya CHADEMA waibuka

    Umemsikia kimambi ? Anaomba afahamishwe kinana yupo hospitali gani india na wodi yangapi? Anataka akamjulie hali
  8. kajuna20

    Udhaifu wa tume ya Nape dhidi ya Makonda

    Hapa mimi naona porojo tu eti nape toka mwanzo kakosea hata kabla ya tume kuundwa. ...na makonda je ? Make chanzo cha yote ni makonda Mchunguze kwanza huyo kama alikua sahihi na alicho fanya pale coulds?
  9. kajuna20

    RPC Kaganda:Sikuzuia mkutano wa Nape na waandishi wa habari

    Ok hukuzuia doctor silaa alipo jiuzuru chadema alifanya mkutano na waandishi wa habari hatukuona haya. Lipumba kadhalika hatukuona Vilevile nape alizungumza na waandishi wa habari hatukuona ulinzi wa aina hii inakuaje huu ulinzi wa kumzuia mtu asishuke kwenye gari mpaka kushikiwa bastola ati...
  10. kajuna20

    RPC Kaganda:Sikuzuia mkutano wa Nape na waandishi wa habari

    Unajua watanzania tushageuzwa mazuzu watu wa zero tu kila kitu tupo zero no ndugu kusoma hatjui hata picha ! Kila mtu aliona na kama uchunguzi mbona huyo askari hakuwa pekeake ? Kulikuwa na askari wengine tumeona kwenye vidio na anaonekana uso kabisa mpaka kitenge alishuhudia iyo ishu
  11. kajuna20

    Mwigulu hili hapana

    Mwigulu nchemba ndugu yangu usijaribu kama unaweza jitoe mzima mzima kama nape simamia haki but jiandae nawewe jutumbuliwa
  12. kajuna20

    Watanzania watakiwa kumuunga mkono Rais Magufuli

    Hakuna wakumuombea ajiombee mwenyewe
  13. kajuna20

    Kibonde anamsifia rais kila jambo, kulikoni?

    Anataka ukuu wa wilaya
  14. kajuna20

    Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    [emoji1] [emoji2] [emoji3]
  15. kajuna20

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Pengine unaweza sema wa tz tuna beza sana no au kusema tumekalili viongozi wetu kufunika ukweli na kurahisisha maswali magumu kutoa majib mepesi kwahiyo tunacho kishuhudia kwa sasa ni kama sapliz Wengi walitegemea luge atatishwa na kuamliwa kupindisha lakini alianika ukweli kadgalika nape vivyo...
  16. kajuna20

    Zitto Kabwe: Haitoshi kumlilia Nape, Tunapaswa kuchukua hatua kumuwajibisha Rais

    Wewe muongo huna lolote 5+kofia+ tisheti=ccm hoyee . Sisi tumerogwa
  17. kajuna20

    Mkandarasi atishia kusitisha ujenzi terminal 3

    Nguzo zilizo simama ni nyerere rod tu nazo hazijatimia mandela rod bado hawajanza kusimamisha nguzo kabisa
  18. kajuna20

    Mkandarasi atishia kusitisha ujenzi terminal 3

    Nguzo zilizo simama ni nyerere rod tu nazo hazijatimia mandela rod bado hawajanza kusimamisha nguzo kabisa
Back
Top Bottom