Search results

  1. A

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Unajua nini tofauti kati ya kusoma na kusomeshwa.Nikisema makala imejaa uongo na makosa ya kielimu mengi ujue namaanisha,achilia mbali kosa la yaliyomo katika makala hiyo bali na udhaifu wa muandishi juu ya lugha ya kiswahili. Ukiangalia kichwa cha makala yake kinaonyesha udhaifu mkubwa juu ya...
  2. A

    Wanavyo chezewa akili zao

    Kaka huwezi kuijua Saudia kama huujui uislamu...Uhalisia wa nchi za kiislamu hasa za kiarabu na magharibi huwezi kuujua kupitia katuni,kupitia vyombo vya habari,kupitia siasa za kidemokrasia. Na hakuna nchi ya magharibi inayoweza kuichezea akili nchi saudia.Naijua saudi kwa mizani ya...
  3. A

    Utumwa ulifanywa na Wazungu

    Kiongozi embu tupatie ushahidi wa kielimu juu ya uyasemayo ili nasisi tupate faida,maneno tupu hayatoshi katika suala kama hili.
  4. A

    Utumwa ulifanywa na Wazungu

    Ebwana kiongozi unao ushahidi yakinifu juu ya madai yako ? Je unayo hata picha ya bahati mbaya ili kutilia nguvu madai yako,yaani kama picha alizozitoa mtoa mada ? Yaani unayo picha za waarabu wakiwatesa waafrika ? Yaani mfano wa picha kama alizowasilisha mtoa mada sio michoro ?
  5. A

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Leta aya inayokwenda na kinyume na niliyo yasema mzee.Sio unaandika kisa una vidole vya kuandika.Jibu hoja kwa hoja sio "...mbona...". Ulitakiwa kuelewa nilichokiandika sio uishie kusoma tu hoja zangu.Uislamu haujaanzishwa na SHETANI.Na mpaka naingia kaburini sio wewe tu hata wakubwa wenu...
  6. A

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Una hoja dhaifu kuliko nyumba za bui bui....Hiyo sura inaitwa surat al jinn,sura hiyo inazungumzia majini na jinsi walivyoiamini Qur'an na kuisifia,wakasema "Hakika hali wa shani sisi tumeisikia Qur'an ya ajabu..."
  7. A

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Mama ake Yesu alikuwa na mume ? Mbona alizaa ? Usiwe na ufahamu finyu kiasi hicho ? Unafikiri kila kilichozaliwa kilikuwa na wazazi wawili ? au kilichokuwepo kilitokana na uwili ? Mzee huwezi kumjadili Mola wa ulimwengu kwa mihemko namna hiyo mpaka ukasahau ya kuwa mnaemuita Yesu na kumuabudu...
  8. A

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Kijana acha kuruka kuruka kwa kutoa nukuu bila kuzielewa.Kwanza kabisa Boko Haramu hawahukumu kwa sheria za Kiislamu.Sababu hakuna dola katika dola nyingine.Uislamu ni elimu mzee.Uislamu yaani Qur'an na Sunnah kwanza hutafsiriwa kwa zenyewe kisha Qur'an kwa hutafsiriwa kwa sunnah,kauli za...
  9. A

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Nalielewa mno mpaka asili yake ni wapi hilo amko nalijua.Leta hoja sasa.
  10. A

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Hilo ndio tatizo kubwa uliokuwa nalo.Mzee mambo ya kiulimwengu na yasiyokuwa hayo huwezi kuyajadili bila kuzungumzia uwepo wa yule alieviweka kutafakari kwa mtindo huo ni kutafakari kwa kitoto na ndio huko kulikowafanya watu wawe wazito wakufikiri kuliko tukuka.
  11. A

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Sasa kiongozi kama umeshindwa kuona usawa wa hizo kauli mbili.Unazidi kunipa mashaka na kunifanya nitoke kifua mbele kwa wewe kushindwa kung'amua kauli hizo mbili. Niliposema "Nilijifunza shari ili niijue nisifanyeshari" na kauli "Haifai kujifunza shari".Hapa ulitakiwa kwanza ujue nini maana ya...
  12. A

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Tamko kutawala lina maana ya kilugha na maana ya kisheria.Ndio maana nahisi naongea mambo mepesi sana kiasi ambacho akili yako haikuweza kuyafikia.Kutawala si mpaka uwe katika mfumo fulani,yaani kutawala kidemokrasia au mfano wake katika kutawala kwa kifedhuli.Kutawala hapa nazungumzia kutawala...
  13. A

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Umeuliza swali zuri sana mzee,ukweli unabaki pale pale.Umejaribu kugusia nukta moja ya utoto na ghafla ukafikia hitimisho lisilo la kielimu kwa kuegemeza kwenye mahakama.Sisi hatuangalii mahakama sisi tunaangalia utoto na suala la ushahidi na tunaangalia vipi tutaupata ukweli kama ulivyo si kama...
  14. A

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Kiongozi kamwe huwezi kuukataa ukweli huo kama kweli wewe ni mtu wa elimu.Hoja yako msingi wake ni wa sayansi ndio maana pale ulipo anza kuleta stori za Kuiper belt na nadharia zake.Ndio maana kuna jamaa mmoja alikuuliza swali moja la msingi sana juu ya maelezo,akionyesha ya kuwa maelezo yako...
  15. A

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Pale uliposema "Hao Aliens wanaweza kuwa ni product ya huyo shetani.....".Hapa ilimaanisha nini ? Sasa unaponiambia wapi sijaelewa unanishangaza sana.Hoja yako hiyo niliijibu kwa kukuonyesha ni jinsi gani huwezi kuonyesha uhusiano kati ya Shetani na hao Aliens.Kama hukuelewa tamko shetani...
  16. A

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Kiongozi twende taratibu sasa,naona unaelekea kunielewa.Nimekwambia urejee misingi ya sayansi ili ujue ni yapi mapungufu ya sayansi na usiendelee kujadili matokeo ya sayansi sababu mafikio yako yatakuwa ni kubebeshwa uongo ulio mwepesi na kushindwa kuujua uongo huo.Misingi ndio asasi ya kujua...
  17. A

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Kaka niliandika katika hoja zangu ya kuwa misingi ya kisayansi ina udhaifu mkubwa sana katika kufikia hitimisho la jambo fulani ndio maana leo akisema A kesho watasema B. Kwahiyo mimi najadili misingi ya kisayansi na matokeao yake na wewe unajadili matokeo ya sayansi bila kuijua misingi...
  18. A

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Kaka msingi wa hoja zangu umemili kuwajibu wale wanaokubaliana na jambo hilo hasa hao wanasayansi.Suala la kusema kuna watu wamehojiwa na wameshawahi kuwaona ndio ikawa hoja juu yako juu ya kuthibitisha uwepo wa viumbe hao ? Huo ni uchache wa maarifa ya uhakiki wa Habari mzee.Uliza kwa sababu...
Back
Top Bottom