Search results

  1. Kurt godel

    Wadau wa forex pitieni hapa

    😅😅 bro acha uongo manipulation nyingi kwenysecurities market zinafanywa kwenye stocks, commodities na derivaties. Foreign exchange market is to global and has a higher average trading volume for any single entity to corner it for a very long time.
  2. Kurt godel

    Forex indicators

    Vipi kuhusu fundamental analysis na sentimental analysis nazo hazina faida au 😅 ndo maana mnapigwa hela mko busy tu na technicals.
  3. Kurt godel

    Forex indicators

    What type of future contracts una deal nazo bro
  4. Kurt godel

    jinsi ya kuiba ela kwenye account ya ezy pesa

    Da admin mnaninzingua cjui na mm nifungue account kwenye WordPress yenu tuanze kufutiana message
  5. Kurt godel

    Possible flaw in ezypesa system ????

    Katika kuchunguza chunguza kwangu nime notice kitu strange kuhusu ezypesa Nilivyofanya hzi steps zifuatazo 1)dial *150*02# 2)chagua option 9 ya account yangu 3)chagua option two ya kubadilishwa password 4)Then type something wrong for the now password and new password What happened next ni...
  6. Kurt godel

    InstaBrute - Instagram bruteforce exploit module.

    Unakuwa huwezi hamini security Watu wanafanya assumption sana.Unaweza uka thinkits hard lakini ukifuatilia major hacks huwez amini its just the same thing different day Mfano angalia ile Sony hack you would expect it to be a major issue Ila it was just a SQL injection attack. Au hii IOT mirai...
  7. Kurt godel

    InstaBrute - Instagram bruteforce exploit module.

    Uko vzuri bro.Developer wanasahau ya kuwa unaweza program system na security measures kama delaying making you can never program the user to be secure.Watu wanatumia password mmoja account zote na isitoshe password zao mostly ni majina yao au watoto au mwanamziki au vitu knowable making it...
  8. Kurt godel

    InstaBrute - Instagram bruteforce exploit module.

    Unaweza kusubiria kweli miaka 292 ku brute force 128 bit key ??
  9. Kurt godel

    Software Inaungana Vipi na Hardware?

    Bro labda nikueleweshe vizuri umeshajua kuwa ndani kuna maximum na minimum voltage ngoja nianzie hapo Ckia bro katika von neumann based machines kuna kitu kinaitwa fetch-decode-execute Instructions na data zinakuwa stored kwenye memory, processor ina zi fetch na kuzi decode kwa kutumia...
  10. Kurt godel

    Software Inaungana Vipi na Hardware?

    Haha nimekutana na watu hawajui kutumia mouse ila wewe Ni special case naona umeshindwa kusoma hcho kipande cha pili
  11. Kurt godel

    Software Inaungana Vipi na Hardware?

    Kuna watu wanasoma IT hawajui computer hahahah mnabebwa na vyeti
  12. Kurt godel

    Software Inaungana Vipi na Hardware?

    Hamna zero na moja ndan ya kompyuta Ni switches zinazo alternate kwenye discrete Maxima positive voltage na maximum negative voltage.Hzo zero na one ni abstraction kutoka kwenye hzo discrete maximum na minimum voltage A computer is a physical manifestation of computation.Computation meaning...
  13. Kurt godel

    Software Inaungana Vipi na Hardware?

    Hahahahahaha hivi Ni kwl kwamba watanzia wengi bado hawaana uelewa wa kompyuta au hahah daa sasa zikija hzo Internet of Things sindo mtasema mnamwona yesu
  14. Kurt godel

    Software Inaungana Vipi na Hardware?

    Hahahah uchawi kwenye computer da Kuna watu kwel wana IQ ndogo
  15. Kurt godel

    Software Inaungana Vipi na Hardware?

    hahahahhha bro naomba nikushauri uache kusoma IT aisee maana ni aibu.Duuh yani umeshindwa hata kufungua pc na kuona kuwa ndani hamna maandishi yoyote katika mfumo wa maandishi ya karatasi bali ni cirucit na components.Ukashindwa kweli kutambuwa ya kwamba hzo components zinatumika kuwakilisha...
  16. Kurt godel

    Vijana jifunzeni programming you wont regret it

    people aisee i need innovation kwenye hyo ishu ya prime generating function atakeyeweza nipa function ambayo haita crush process kwnye n = 1 million kwenye raspberry pie ntamlipa hela aisee
  17. Kurt godel

    Vijana jifunzeni programming you wont regret it

    bro unashindwa elewa kuwa mimi sifanyi exercise ya kitabu cha bjournanne strappe cha programming hii ni sofware kwa hyo iyo function iko ndan ya source code swezi kuonyesha ila unachotakiwa kujua kuwa kwenye raspberry pie 2 process ina run out of memory when n = 1 million so kama huna new...
Back
Top Bottom