Search results

  1. dadaake

    Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

    Tafutaa eneo la sokon omba kinafasi weka jiko kaanga mihogo mziru mikubwa pilipili nzuri ya kutsoha Kuwa msafi na mkarimu Tengeneza crips nzuri,karanga za mayai ama vikokoto omba madukan uuze ama kaa stend na sinia lako jion ukiwa msafi uza Hakikisha u msafi wa kinywa na mwili Zingatiaa bei...
  2. dadaake

    Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

    Mdogowangu mpenziii Km huna Aibu anza kupika vitumbua jion vzr kabisa,tafutaa site nzuri yenye kuonekana lipia ht elfu 1 kwa siku Nakuomba sana usiuze bei kubwa weka bei nzuri ht wanafunzi waweze nunua kwa wingi Nakusihi usione Aibu km umeamua kufanya biashara basi jitoe haswa,mwaka wa 6 huu...
  3. dadaake

    Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

    Siku hz hakuna mambo ya unapenda kufanya nnnn,,unafanya lolote lile la halali lenye kuweza kukupa faida na kusonga mbele
  4. dadaake

    Kwanini Madaktari wengi wahuni?

    Mimi daktari alienyoa kiduku kavaa bana suruali sijui busy na simu nitamfokeaa hatoamini na cha kunifanya atakosaa. Kwanza kidaktari kidogo dogo No plz Aniachee nife Asinihudumie
  5. dadaake

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Kumekuchaaa Kumekuchaaa[emoji28][emoji28]
  6. dadaake

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Unatoboa ht ukiwa na Mungu tu Kikubwa upate mawe mazuri sanaa,usagaj mzuri,usimamiz mzuri na mwisho mkemia anaejua nn anafanya Utakua na tawire hlf mawe yanasoma ppm1 itasaidia nn
  7. dadaake

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Ulikosea wapi kwenye madini mkuu ukachoma hiyo 80m?
  8. dadaake

    Transformer la umeme mtaa wa Livingstone na Lindi lageuka kitega uchumi kwa wafanyakazi wa TANESCO

    Hii nchi kuna mambo ya kishenzi sanaaa,,plz doto biteko najua uko umu acha kuchekacheka na washenzii,,anaezingua mweke pembeni weka mwingne Vijana wamejaa tele mtaan mnalambanalambana uko kwa mambo ya kishenzi
  9. dadaake

    Nina ideas mbili za biashara nataka nianze na moja. Tafadhali nishaurini

    Inamsimu sana hii Nyakat za mvua mauzo yanashukaa mnoo watu wanawahi nyumban kunywa tangawizi hhahahah
  10. dadaake

    Ex wangu anataabika hadi namuonea huruma, nimsaidie?

    Huna ndugu zako wakuwasaidiaa
  11. dadaake

    Ubadhirifu katika Risiti za EFD za TRA

    Kusajiriwa VAT ni mpk uwe umefika mauzo ya m200 kwa mwakaa
  12. dadaake

    Ubadhirifu katika Risiti za EFD za TRA

    Wajinga wajinga hawa Unafatilia kodi kunehemesha familia za watuuu Pyuuuuuu
  13. dadaake

    Kwanini wizara ya afya iko hivi?

    Waziri mwenyewe mwenye dhaman ni kihojaa Matunda mchanganyiko ndo wameniacha hoi zaidi
  14. dadaake

    Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Nimelike kabla sijamaliza kusoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. dadaake

    Hodi Mwanza, vipi biashara ya kuku broiler inalipa?

    Mwanza usilete hizo kuku,,utasumbukaa sana na soko Tunakasumba ya kula samaki sanaa Kuku mara moja moja
  16. dadaake

    Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

    Ikishindikana kuwe na rotation miaka mi5 kwa taasisi na mashirika ikiisha unaenda halmashauri mi5 tena ndo akili zitakaa sawaa
  17. dadaake

    Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

    Mhh mwanza sehemu gani ww jamaaa looohhh
  18. dadaake

    Mzazi asiyejielewa ndiye atampeleka mtoto wake Pre-form one

    Wengne wameenda mbali zaidi pre form1 anampeleka boarding kabisaaa[emoji119]
  19. dadaake

    Mzazi asiyejielewa ndiye atampeleka mtoto wake Pre-form one

    Wazazi wa miaka hii utafikiri tuna laana Tunafanya mambo ya hovyo mnooo
Back
Top Bottom