Search results

  1. M

    Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

    Kama SIKWELI ambassador wa US ataongea hawezi kukaa kimya nchi yake ikitukanwa. Kama akikaa kimya bila kuwauliza CCM basi itakuwa ni KWELI . Kwenye mandamano siendi tena manake mimi niandamane bure wenza wale $$$. Ngoja tusubiri!
  2. M

    Chadema kuandamana nchi nzima tarehe 16, kuupinga muswada......!

    Yaleyale ya CUF ya miaka ileee... Watu wakafa, wakalema na kwa mara ya kwanza Tz ikazalisha wakimbizi kibao. Sasa yakowapi?
  3. M

    Kwanini Prof. Safari Alijiunga na Chadema Siku ya Wajinga?

    Prof. wangu ni Opportunism nawaomba Chadema wawe makini wala hakuwa na habari ya siku ya wajinga
  4. M

    How to use JamiiForums effectively

    Nangia kwenye kiyoo, nikaribisheni jamvini Kwajina mwanakondoo, Yuleyule wa zamani Bado sijawa kijogoo, Nipeni mda ulingoni Naanza kuandaa dondoo,wanajamii subirini
Back
Top Bottom