Search results

  1. M

    Ethiopia wenye ndege nyingi na kubwa, treni ya kisasa na flyovers maisha ya wananchi wake yakoje?

    Hebu jaribu tena kusoma ulichoandika labda utagundua makosa yako. Ni vizuri kujikosoa mwenyewe kabla hujakosolewa
  2. M

    Ethiopia wenye ndege nyingi na kubwa, treni ya kisasa na flyovers maisha ya wananchi wake yakoje?

    Wakati wewe unaamini kukaa kwenye Nyumba chakavu ya tope, iliyoezekwa kwa nyasi au makuti, yenye choo cha shimo kinachotoa harufu na nzi wamezagaa ndio maendeleo ili mradi tu eti una uhakika wa kula vizuri! Unachekesha kweli.
  3. M

    Ethiopia wenye ndege nyingi na kubwa, treni ya kisasa na flyovers maisha ya wananchi wake yakoje?

    Kumridhisha mwanadamu ni kazi ngumu sana, hata ukimbemba mgongoni ukamvusha ng'ambo ya mto bado atalalamika mgongo wako unanuka jasho!
  4. M

    Ethiopia wenye ndege nyingi na kubwa, treni ya kisasa na flyovers maisha ya wananchi wake yakoje?

    Nitajie nchi iliyoendelea duniani bila kuboresha miundombinu yake, ficha ujinga wako unatia aibu!
  5. M

    Ethiopia wenye ndege nyingi na kubwa, treni ya kisasa na flyovers maisha ya wananchi wake yakoje?

    Ukipitia ripoti ya CAG ya fy 16/17 kuhusu deni la taifa, trend inaonyesha deni la Taifa linaendelea kukua kila Mwaka licha ya malipo ya kupunguza deni hilo kufanyika kila Mwaka pia. Kukopa sio tatizo tatizo ni kukopa ili ufanye kitu gani. Kukopa kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu kama reli...
  6. M

    Ethiopia wenye ndege nyingi na kubwa, treni ya kisasa na flyovers maisha ya wananchi wake yakoje?

    Hata nchi zilizoendelea kama Marekani na China bado Huduma za jamii hazikidhi haja kwa wananchi wake licha ya kuwa na miundombinu rafiki kama Umeme wa kutosha, treni za kisasa, fryovers n.k. 1. Unatatajia Ethiopia watende miujiza gani wakati ni miongoni mwa nchi zinazoendelea? 2. Kwa kuwa...
  7. M

    Gazeti la Kenya EA lainanga Serikali ya Tanzania

    Umeisoma hiyo habari au umepost tu? Hakuna kitu kama hicho anachosema mtoa mada!
  8. M

    Gazeti la Kenya EA lainanga Serikali ya Tanzania

    Soma kwanza mkuu. Sijaona mahali serikali imenangwa kwenye hiyo source alioweka
  9. M

    Gazeti la Kenya EA lainanga Serikali ya Tanzania

    Muongo Mkubwa acha kupotosha watu wewe, nimesoma habari yote kwenye chanzo ulichoweka sijaona mahali serikali imenangwa wala kuikejeli. Huo sasa unaofanya wewe ni uchochezi
  10. M

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Ulichosndika hakijibu swali nililokuuliza, magazeti ya nchi nyingine kuandika ndo ushindi? Acha uzwazwa ww
  11. M

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Serikali ipi duniani sio omba omba? Hakuna serikari isiyokopa wewe ndo maana world bank ikaanzishwa
  12. M

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Ni uchaguzi upi hakuwahi kulalamika kuibiwa kura? Tumeshawazoea kazi kulia lia tu kama makinda ya ndege. Endelea kujipa matumaini ipo siku utashinda hata kama ni uzeeni
  13. M

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Mmebaki na matumaini hewa ya ushindi wa miujiza. Eti mkijaa kwenye 18 kwa hiyo mnavizia vizia. Mtasubiri sana, kwa taarifa yetu interchange ya ubungo itajengwa, SGR itajengwa, stiglers gorge itajengwa achilia mbali miradi mingine kibao itajengwa na kumalizika kabla ya 2025 haijalishi kwa mkopo...
  14. M

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Mkubwa hatishiwi nyau wewe kaa utulie rais wetu mpendwa akutengenezee Maisha yako na kizazi chako
  15. M

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Kwanza hao world bank wana contact na rais wa nchi muda wowote na wanajua nia ya rais kwa taifa hili ni njema hivyo maadui wasiopenda maendeleo hufanya kila njia ili kuvuruga mipango kwa interest zao kwa hiyo usitarajie huyo mala.ya wa kipare kufaulu chochote
  16. M

    CHADEMA: Tunawaomba mpuuze barua inayosambazwa na 'mawakala wa watawala'

    Hapo ndo utapojua kumbe maandamano bila kibali cha polisi ni batili ndio maana FBI wameingilia kati vinginevyo mdada kaufyata mkia kwa woga!
  17. M

    Uelekeo mpya wa upinzani na nguvu ya Zitto Kabwe

    Ishu hapa sio mbwa kumg'ata binadamu! Binadamu kimg'ata mbwa ndo ishu sawa tu na mchungaji kumbaka muumini au polisi kuiba! Kwa kawaida huwezi kusimamia au kukosoa maadili ya mtu mwingine wakati ya kwako ni machafu pia. Ni matarajio ya walio wengi katika jamii yoyote kuona wanaosimamia...
  18. M

    Nape Nnauye na Hekima za mfalme Suleimani

    Katika wanafiki original nchi nape wa kwanza! Enzi zake wakilia wengine yeye kicheko leo eti mhenga du!
Back
Top Bottom