Search results

  1. N

    "Non-Celebrity" anatafuta mchumba.....

    Tatizo langu sikusoma vizuri sheria za JF, pia hata terminologies zinazotumika humu nitofauti na nilivyokuwa nazifahamu. WanaJF naomba mnipe muda nikasome vizuri sheria hizi na jinsi mnavyotumia haya manano"terminologies". Samahani sana kwa kuwakwaza. Nitarudi Jumatatu nyingine nikiwa nimeelewa...
  2. N

    "Non-Celebrity" anatafuta mchumba.....

    "Kufungua" nilimaanisha kuji"REGISTER"...Chunguza ID yangu kama sijaingia leo JF
  3. N

    "Non-Celebrity" anatafuta mchumba.....

    @afrodenzi: mwanzoni kabisa ulisema hunitaki, sasa mbona unanizibia kwa wengine?
  4. N

    "Non-Celebrity" anatafuta mchumba.....

    @Lukansola & The Finest: Naona mnamtafutia rafiki yangu MpigaKelele sababu ya kufungiwa kutumia JF, hivi kosa lake kutangazania nia yangu kutafuta Mchumba!!,
  5. N

    "Non-Celebrity" anatafuta mchumba.....

    Habari zenu wanaJF wa MMU! Mimi ndiye niliyemuomba MpigaKelele atangaze nia yangu ya kutafuta mchumba hapa, na nikamuomba pia aweke sifa za msichana anayetaka kuchumbiwa na mimi. Jamani msimsakame MpigaKelele. Hiyo posti no# 9 nimeigoga mimi MpigaKelele alisahau kulog out aliponiachia PC yake...
  6. N

    Hodi wanaJF, naitwa Non-Celebrity

    Kwa heshima na taadhima, nabisha hodi kwenu wanaJF, namshukuru mwanaJF mwenzenu MpigaKelele aliyenihabarisha habari za JF na MMU wanavyowezesha kupata unachokihitaji. ni matumaini yangu kuwa tutashirikiana kwa kila hali. Ahsanteni
Back
Top Bottom