Search results

  1. P

    Halmashauri ya Wilaya ya Ilala, fungueni barabara za Tabata

    Meya wa wilaya ya Ilala una mpango gani na Tabata, mbona mnafunga barabara ya Vingunguti wiki sasa hamfungui mnatutesa na foleni tu, barabara ya Tabata dampo haiishi muda sasa kila siku tabu. Sasa hivi na daraja la Ukonga nalo chali....Jerry Slaa hebu okoa jahazi hapa bwana hali ni mbaya kwa...
  2. P

    Msaada: Tumbo linaniuma baada ya kula

    Kwa yeyote anaeweza kunisaidia jamani...... Nasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sasa nimetumia madawa sana na nimefanya mpaka endo scope pale Agakhan Hospital kujua tatizo ni nini lakini bado linanisumbua tatizo lenyewe: Kila ninapokula chakula mchana nikimaliza baada ya mda mchache tumbo...
Back
Top Bottom