Search results

  1. mumo kimanthi

    Ipi sentensi sahihi?

    Ya kwanza haiwezi kuwa sahihi hata kwa misingi hipi.
  2. mumo kimanthi

    Ipi sentensi sahihi?

    Ya kwanza ambayo informed ni adjective.
  3. mumo kimanthi

    Changamoto Katika Lugha

    Sorry, no.3 is correct. In no.1 saloon imekosewa.
  4. mumo kimanthi

    Changamoto Katika Lugha

    The assumption reverses the grammatical trend because i can not be you.
  5. mumo kimanthi

    Changamoto Katika Lugha

    No. 1 is correct. The assumption 'ningekuwa wewe '
  6. mumo kimanthi

    Matumizi ya neno ''Gone''

    Kwenye sentence ya kwanza,neno gone ni adjective. Gone ya pili ni verb.
  7. mumo kimanthi

    Matumizi ya neno ''Gone''

    Kwenye sentence ya kwanza
  8. mumo kimanthi

    Matumizi ya neno ''Gone''

    Nikisema 'amekwenda' bila kusema wapi sentensi haijakamilika? Hiyo sentensi imekamilika.
  9. mumo kimanthi

    Matumizi ya neno ''Gone''

    Hapo sawa kabisa.
  10. mumo kimanthi

    Matumizi ya neno ''Gone''

    Naomba tofauti ya sentensi hizi 1. She is gone. 2.She has gone.
  11. mumo kimanthi

    Learn english here at JamiiForums

    I had had breakfast. Maana yake . Lugha ya kiingereza INA verbs aina tatu. 1. Action verb 2.verb to be 3. Verb to have. Swali lako linajikita kwenye verb to have. Verb to have inakumilikisha kitu. Kwa mfano ' Nina gari' I have a car.hii ni present simple.Have hapa inatumika kama verb ya...
  12. mumo kimanthi

    You have not secured loan

    Hujafanikiwa kupata mkopo.
  13. mumo kimanthi

    Past present and future tense

    Soma hizi tense 9 kwanza. Chukulia kuna tense makundi 3. Present,past future. Kili moja igawanye Mara tatu, simple,continuous,na perfect. Unapata; 1.present simple 2.present continuous 3.present perfect 4.past simple,5.past continuous 6.past perfect 7.future simple,8.future continuous 9.future...
  14. mumo kimanthi

    Maana ya neno nyang'au

    Nyang'au ni nyani!!
  15. mumo kimanthi

    Language

    Past simple-tukio lilifanyika. Past perfect-tukio lilikuwa limefanyika. Kwa mfano- When you came, l had slept. Ulipokuja,nilikuwa nimeshalala. Kitendo cha past perfect kinatangulia kuzaliwa. Past perfect ni flashback.
  16. mumo kimanthi

    Naomba tusaidiane wakubwa nina swali.?

    Note: Misunderstanding ni haina ya conflict.
  17. mumo kimanthi

    Naomba tusaidiane wakubwa nina swali.?

    Conflict ni mgongano either social,physical,psychological etc. Misunderstanding ni kutoelewana.
  18. mumo kimanthi

    Tafsiri sentensi hizi za 'tenses'

    Majibu. 1.The song was being sung. 2.The song used to be sung.
Back
Top Bottom