Search results

  1. K

    Ushauri; Naweza kuunganisha simu yangu na ya mke wangu?

    Mtoto akililia wembe ngoja umkate. Fanya hivi. Chukua simu then weka hii link Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone Install hyo application kama anatumia smart lakin. Hakikisha una email, ukimaliza nend kwen setting ya smu yake thn allow user from...
  2. K

    Msaada kwa huyu rafiki yangu

    Huyo ameadapt tabia za kihaya. Sasa come down bro. Akitoka huko kwako tanga ataenda mwananyamara kwa wahaya wenzake. Addicted huyo. Tanga kuna watoto wazur wanaojua kulea, ye na kihele hele chake kufata kagera huko. Huyu atakua anaumia kwa pesa alizotuma na si mapenzi. Wanawake kibao mpaka wa...
  3. K

    Simu haifungui wi_fi na bluetooth

    Nadhukuru kwa msaada wako mkuu. Nipo mbali kidogo. Nipo easten zone huku moro.
  4. K

    Simu haifungui wi_fi na bluetooth

    Hapana mkuu cna hyo experience. Kama inawezekana kunielekeza nielekeze kidogo
  5. K

    Simu haifungui wi_fi na bluetooth

    Ndio zilikua zinafanya kazi. Na last week zikifunguka zote kwa mda mchache ikarudu kutofunguka tena
  6. K

    Simu haifungui wi_fi na bluetooth

    Mm nili restore tu. Imekuja version 4.4.1 Na version yake ya mwanzo ni 4.1
  7. K

    Simu haifungui wi_fi na bluetooth

    Ndo nafanyaje kuirudisha?
  8. K

    Simu haifungui wi_fi na bluetooth

    Tusubir wataalam wa mambo watusaidie
  9. K

    Simu haifungui wi_fi na bluetooth

    Naomba mnisaidie nifanyaje simu yangu samsung note 2 ifungue wi_fi na bluetooth. Imejiupgrade version from 4.1 up to 4.4.1
  10. K

    Naomba kuuliza tafadhali,

    Ha ha ha ha....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom