Search results

  1. masikin hachoki

    Natafuta kazi ya uuguzi na ukunga

    Mimi ni kijana mwenye miaka 22natafuta kazi ya uuguzi na ukunga nimehitimu mwaka jana vyet vyote ninavyo na niko tayar kufanya kazi wodi yoyote na kituo chochote . Asanteni naomba kuwasirisha
Back
Top Bottom