Search results

  1. Mududu

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Mambo now amenichanganya kidogo,,,,,,nimemsikia akisema watu walewale waliomteka ndio walienda kumtupa Gymkana wakitumia gari ileile. Hapa ni maswali kadhaa labda tusaidiane; Nani kawaona hawa watu kwamba ni walewale maana tuliambiwa tu ni wazungu lakini picha zao hazijawahi kuwekwa...
  2. Mududu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Muda wa kuigiza tunapendana umeisha, ndugu Ndugai ni moja ya watu walioleta mzaa uliopitiliza juu ya matatizo yaliyompata LISSU na matibabu yake kwa ijumaa. Ukiongeza na dharau na ubabe anaonyesha bungeni na serikalini kwa ujumla, namuomba Baba Mungu wa mbinguni ututendee waja wako haki...
  3. Mududu

    Umoja wa Mataifa umeionya Kenya, ni baada ya kuvifungia vituo vitatu vya televisheni

    Wazungu kweli hamnazo, ila kwa sasa Africa tumeanza kiwashtukia. Mtabaki kuwaendesha wanaopenda kubaki madarakani miaka mingi maana ndio njia rahisi ya kuzua migogoro. Yaani mnamwacha mtu aliyejiapisha mwenyewe kwenye nchi yenye raisi, mnalaumu serikali kwa kufungia waliorusha huo uhuni.. Toka...
  4. Mududu

    Muswada wa umri wa kustaafu kujadiliwa kamati za Bunge

    Hili la mikataba ndio kilichopo kwa sasa na lkinachofanyika ni kujaribu kulifuta hilo. Kutokana na kiwango cha elimu/taaruma wanachokuwa wamefikia ni gharama zaidi kuwalipa kwa mikataba kuliko akiwa mtumishi wa uma bado. Kuna ambao huwa inabidi wahesabiwe masaa, na sio fixed salaries tena...
  5. Mududu

    Sasa ni rasmi; wapinzani hawatakiwi kupata kitu kwenye chaguzi

    kuna watu kuelewa mpaka wapewe ruhusa na bosi wao,,,,,au hata asipoelewa akisema bosi tu basi,,,,by induction anakubali.
  6. Mududu

    Sasa ni rasmi; wapinzani hawatakiwi kupata kitu kwenye chaguzi

    hapo in a maana hata teacher anaweza akafuatwa shuleni na katibu wa CCM mkoa akatakiwa kueleza namna alivyotekeleza ilani ya chama. yaani hapa kazi kweli kweli,,,,wakati naanza kazi niliambiwa mabo ya siasa marufuku,, sasa inaonekana natakiwa kujipanga kivingine,,, unaweza mwagiwa miswali siku...
  7. Mududu

    Sasa ni rasmi; wapinzani hawatakiwi kupata kitu kwenye chaguzi

    hili ndio tatizo lenu,,,ninachoongelea sio kutaka ushindi. Hilo liko wazi kila chama kinawaza kushinda namna hiyo. Hoja yangu iko wazi na vyema ukipata nafasi ya kufikiria, fanya hivyo. Ninachoongelea ni mwakirishi wa wananchi, kama tulivyoona kwa ndugu Makala, kujisikia anawajibika zaidi kwa...
  8. Mududu

    Sasa ni rasmi; wapinzani hawatakiwi kupata kitu kwenye chaguzi

    hapa kiongozi tatizo ni nani anapewa jukumu la kuhakikisha huo ushindi.... kama kazi hiyo anapewa Kinana au Polepole, hakuna tatizo. Lakini unapompa kazi ya CHAMA KIMOJA mwakirishi wa wananchi wote, kidogo kuna tatizo.
  9. Mududu

    Kumbe bado CCM kuna makundi?

    "Kwahiyo ndugu zangu, huu ni wakati wa kuyaua rasmi makundi. Uchaguzi umekwisha na sasa tuchape kazi. Na chama hakitamvumilia mtu yeyote atakaye endeleza makundi makundi". Ni baadhi ya ujumbe uliopatikana kwenye sehemu ya hotuba ya Ndugu M/kiti wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli. Kauli inaonyesha...
  10. Mududu

    Sasa ni rasmi; wapinzani hawatakiwi kupata kitu kwenye chaguzi

    Angalau nafsi yangu imetulia nilipomsikia M/kiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu Dr. John Pombe Magufuli, akiwataka viongozi wa CCM waliochaguliwa kuhakikisha washindani wao (wapinzani) hawapati kitu kwenye chaguzi zijazo. Kauli hii imenipa majibu ambayo nilikuwa bado...
  11. Mududu

    Rais Magufuli anaongoza nchi kipindi kigumu kuliko watangulizi wake

    Kuna mtu kafanya kila kitu kiwe kigumu, na sio hali ya hewa, wapibzani, wala idadi ya watu. Hivyo vyote vilikuwepo, jaribu kufikiria kwa kutumia ubongo na sio kiungo kingine chochote. Jibu mbona unalo,,,,,,,
  12. Mududu

    Ukiondoa DINI kila kitu ni siasa so usishangazwe na kilichotokea Arusha!

    Kuna wakati huwa nashindwa kuamini kama baadhi yetu wana akili timamu. MTU unakataza kitu alafu dakika 5 tu unakifanya we mwenyewe. Nasisitiza, maendeleo hayana chama ila niseme tu "Naipenda Nchi Yangu, Naipenda Chadema".
  13. Mududu

    Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Mtajikuna mpaka kwenye ulimi safari hii. Mara mropokaji, mara msaliti, ooh 10%, leo mara raisi. Na huyo ni Lissu tu, sijui mikutano ingekuwepo ingekuwaje!!!!!????
  14. Mududu

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    mbona hujatuambia huyo T.A.L kafanya nn!!!??? Alafu,,, hata hivyo mbona adhabu zote unazijua!! ww chagua moja hapo mpe. Ukimalizana nae huyo, uje kwa huyu anayetulipisha bil 87.
  15. Mududu

    Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakaba

    Ni raisi wa TLS tayari, huu mwingine hajawahi kusema, labda unasumbuliwa na lisu stroke.
  16. Mududu

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Umeelewa vizuri, basi tu unajifanyisha. Ni kwamba boss ndio alivunja huo mkatiba kimakosa, kwa maneno mengine yeye na kina Yona ni sawa. Je, atajitumbua au?! Ila mm naliona kwa upande mwengine, ni kama vile hawa jamaa tunaowadai wanajaribu kutuonyesha what they have in store that they can use...
  17. Mududu

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    May be there is a lot to be said,,,,,,,,, am just thinking,,,,,freely.
  18. Mududu

    Kwa Watumishi wa Umma: Kuna uhakiki mwingine umeanza tarehe 31Julai na mwisho 5 Agosti. Fanya hima

    Kwa namna alivyo mchapakazi,, hii haiwezi kutokea bila yeye kujua. Lazima angekuwa keshatumbuliwa mtu. Ukimya huu wa mkuu ni wazi kuwa anajua na anaunga mkono hizo hakiki, lengo inawezekana ni kuchelewesha mishahara mipya. Naomba usirudie kunishawishi kwamba kuna mkuu anachonganoshwa na...
  19. Mududu

    Neno kwa Waoga: Uwezekano wa Barrick Kusema "Hatudaiwi" ni SIFURI!

    Mimi pia napenda hzo trilions zilipwe,,,,,ila sijaona ulichokisema kinachoonyesha kwamba jamaa hawawezi kukataa deni. Naona umeongelea zaidi ndoto na matamanio yako juu ya swala hili. Na maneno mepesi kama haya ndio mnataka watu wayakubali na kuyaunga mkono. Tujifikirishe hata kidogo basi juu ya...
Back
Top Bottom