Search results

  1. ubora wa maisha

    rais kupendwa au kutopendwa kwani inahusu?

    heri ya boxing day kama huna box sijui nikusaidieje? kila siku utasikia wanaompenda rais wasiompenda rais? kwani uongozi ni swala la mahaba. na kwanini mtu ampende au amchukie rais . maana kama walivyo watumishi wengine wa umma ndivyo alivyo rais kuna yule doctor aliyeokoa maisha yako au ya...
  2. ubora wa maisha

    Mkuu wa wilaya ya Hai anatulazimisha kuchangia michango ya kujenga shule la sivyo tutabambuliwa

    Nataka niulize swali tu hivi kama sina hiyo pesa na mgambo wakaja kunibambua wanipeleke polisi wakati inasemekana elimu ni bure na mi naamini kodi tunazolipa ndio kazi yake. Inakuaje magari ya matangazo yanapita mtaani tu na kauli za ubabe na vitisho kila leo, mara mkuu wa wilaya kasema hiki...
Back
Top Bottom