Search results

  1. mamaudaku

    Waziri Mbarawa: Mlango wa ndege ulifunguliwa na mhudumu

    Lazima. Wajitete. Hivi. Ndege. Ipo. Kwenye. Maji. Vipi. Ufungue. Mlangoo
  2. mamaudaku

    Ushauri kwa Rais huenda ukamsaidia

    Kuna mnigeria alimuuliza muimarate sisi kwetu tunankila kitu ila nchi haina maendeleo na maguta yalianza kupatikana kwetu kabla yenu akamjibu unaweza kuwa na kila kitu lakini kama hauna true leadership ninkazi bure shekeh Mohamed ni kiongozi mwenye vision
  3. mamaudaku

    Mahakama Kuu yafuta mashtaka 14 kati ya 25 ya Masheikh wa Uamusho

    Aliyewasweka hao mashekhe bado yupo hai na anaenjoy maisha.
  4. mamaudaku

    Mahakama Kuu yafuta mashtaka 14 kati ya 25 ya Masheikh wa Uamusho

    Wala sio Magu hakuhusika kabisa msipe mzigo Marehemu wa watu waislama wenzao ndio waliowafunga
  5. mamaudaku

    Mahakama Kuu yafuta mashtaka 14 kati ya 25 ya Masheikh wa Uamusho

    Unasikitisha aliyewafunga wala sio Marehemu hao waliwekewa pingamizi na utawala wa awamu ya nne ndio maana ukaona yeye hakuweza kuwatoa
  6. mamaudaku

    #COVID19 Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Kabisa yaani Bill gate analo analilitaka
  7. mamaudaku

    Mwenyezi Mungu msaidie Trump ashinde uchaguzi kesho

    Huyu kaandika kwa chuki ya kushindwa sijawahi kuona marekani wamepata raisi kichaa kama miaka hii raisi anashinda tweeter kuliko wananchi wake
  8. mamaudaku

    Nifanye nini kupata ukimbizi wa kisiasa katika nchi hizi?

    Hata huko unakotaka kwenda kazi ni hizo hizo za vibarua pambana kaka maisha popote
  9. mamaudaku

    CRDB wanachukua hela zetu kwenye akaunti bila idhini yetu

    Jamani sio uongi mimi nilifunga acc yangu ya dola pale mlimani wakati nafungua niliwaambia kwamba ninaishi nje ya nchi hivyo naomba mnifungulienniwe naweza kutoa pesa niliko huwezi kuamini nilipokuwepo kila nikitoa pesa inakata inanimbia wasiliana na makao makuu nikavumilia nikaedna kufika yule...
  10. mamaudaku

    Uchaguzi 2020 CCM msimjibu Tundu Lissu mnazidi kuharibu. Je, Wananchi wana maisha magumu?

    Hata marekani na nchi za kiarabu nimmatajiri na maskini pia wapi acheni kutulisha matango pori
  11. mamaudaku

    Mzee atoa machozi baada ya kumuona Lissu aliyepigwa risasi 16 akiwa hai

    Huwezi kuongoza nchi kwa huruma Ya kupigwa risasi uraisi huwa haujaribiwi
  12. mamaudaku

    Uchaguzi 2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

    Kabisa Halima hajatufanyia chochote kazi kutupigia kelele tu bira tuone upepo mwingine
  13. mamaudaku

    Matokeo ya plan ya kuiua CHADEMA katika picha

    Usiseme watanzania sema Wewe mtanzanzia mimi kura yangu kwa Magufuli vipi unisemee
  14. mamaudaku

    Uchaguzi 2020 Faida nyingine kwa Tundu Lissu, anabebwa na mkoa anaotoka

    Kabisa lisu anafombea uraisi kwa huruma ya kupigwa risasi toka karudi sioni cha maana alichoongea zaidia ya kutufokea yaani watulie ila tunafurahi kuwa na challenge kidogo
  15. mamaudaku

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

    Akusanye ukoo wake aingie barabarani atuache kwanza watu hatujitaji vita hata covid tumeiondoa [emoji23][emoji23][emoji23]tustarehe
  16. mamaudaku

    Tundu Lissu ana wafuasi 75,000 tu huko Twitter?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu chadema wanatumia huruma ya Lisu kupigwa risasi ndio achukue nchi yaani nasubiri oct
  17. mamaudaku

    Mzee Lowassa siku ya kufunga kampeni za urais 2015 alifunga mitaa yote ya Dsm kwa maandamano lakini aliangukia pua!

    Wacha watume amshaamsha bwana uncle Magu katushawishi sana kra yangu yake nikikumbuka wale bodaboda wa lowasa avha tu
  18. mamaudaku

    Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Yaani kuna watu wanalazamisha vitu mpaka unashangaa wekwisha kuambiwa mtu kafa na maradhi ya moyo kwanza mwili wale tu unaweza kukubali watz hapana
  19. mamaudaku

    Mapokezi ya Tundu Lissu na rekodi za kidunia

    Kabisa hawana kazi za kufanya niache shughulizangu nikampokee Lisu jamani watz mnajitambua kweli
  20. mamaudaku

    Ujio wa Tundu Lissu na shamrashamra za mapokezi makubwa zaashiria CCM kutupiwa virago na wapiga kura Oktoba hii

    Ilikuwa kihemko ya lowasa akafagiliwa mpka barabara sembuse Lisu kwa lipi alilotifanyia watz
Back
Top Bottom