Search results

  1. Healthy wealthy

    Kati ya PC vs smartphone wapi Mb zinaenda sana

    Habari zenu wakuu. Naomba mnifahamishe kati ya PC na smart phone wapi Mb zinaenda sana. Nataka niache kutumia smartphone. Natanguliza shukrani.
  2. Healthy wealthy

    Nahitaji Mashine ya kutengeneza chaki

    Habari zenu wakuu. Naweza kupata wapi mashine ya kutengeneza chaki na designer wa vifungashio yaani mabox ambayo ni printed tayari. Nawakilisha.
Back
Top Bottom