Search results

  1. Mr Discount

    Bittersweet situation baada ya kuachana

    Hivi ushawahi kuachana na mtu ambaye bado unampenda? Then unaanza kukumbuka zile memories ambazo mmekua pamoja. Unakuta memories zinakuumiza lakini at the same time unaenjoy [emoji23] Imeshawahi kukutokea situation kama hii (bittersweet situation)?
  2. Mr Discount

    Biashara ya udalali wa kusajiriwa (Dar)

    Ndugu wana JF mnanishaurije nahitaji anzisha service ya udalali (kampuni ya kuuza, kupangisha n.k) vipi mazingira ya dar yanaruhusu? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom