Search results

  1. tsar

    natafuta nyumba ya kupanga kijitonyama

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kijitonyama Iwe na parking Vyumba viwili vya kulala. Sebule na jiko. Piga namba 0755363635.
  2. tsar

    samsung galaxy tab 10.1 inauzwa 700,000.

    Ninauza samsung galaxy tab 10.1 P7500 3G kwa sh laki saba tu. Ina sapoti 3G na wifi with 32gb internal memory. Ni tab yangu na nimeituma kwa mwezi mmoja. Haina mchubuko hata mmoja. Ukitaka specifications ingia hapa http://www.gsmarena.com/samsung_p7500_galaxy_tab_10_1_3g-3892.php Nipo dar...
  3. tsar

    msaada ku connect galaxy tab 10.1 kwenye mtandao

    wakuu,nimenunua galaxy tab 10.1,naomba kuelekezwa namna ya kupata connection settings ili nipate mtandao. asanteni
  4. tsar

    Ofa:samsung galaxy s2 inauzwa 650,000,blackberry bold kwa 600,000.

    Bei ipo fixed mkuu. mia sita hamsini,njoo kagua mzigo utaelewa maana yangu
  5. tsar

    Ofa:samsung galaxy s2 inauzwa 650,000,blackberry bold kwa 600,000.

    Ni bold 9790 mkuu Hiyo yako 9700 na 9780 zimeachwa mbali sana na simu zimetumika mwezi mmoja tu.
  6. tsar

    Ofa:samsung galaxy s2 inauzwa 650,000,blackberry bold kwa 600,000.

    4s andaa laki nane na nusu then nitafute
  7. tsar

    Ofa:samsung galaxy s2 inauzwa 650,000,blackberry bold kwa 600,000.

    simu hizo hapo zauzwa zikiwa zimetumika kwa mwezi mmoja tu. nipo dar nipigie 0682399189.
  8. tsar

    Blackberry Bold 9700 kwa 250.000 tu

    Simu zote zimeuzwa.
  9. tsar

    Blackberry Bold 9700 kwa 250.000 tu

    simu zipo mbili.kila moja ni 250,000 bold 9780 na bold 9700
  10. tsar

    Blackberry Bold 9700 kwa 250.000 tu

    laki mbili na nusu wapata simu tu. pia kuna bold 9780 kwa bei hiyo hiyo.
  11. tsar

    Blackberry Bold 9700 kwa 250.000 tu

    200 hapana
  12. tsar

    Blackberry Bold 9700 kwa 250.000 tu

    Mpya hakuna jomba. Pia kuna used bold 9780 kwa 250,000 pia
  13. tsar

    Blackberry Bold 9700 kwa 250.000 tu

    No one interested?
  14. tsar

    Blackberry Bold 9700 kwa 250.000 tu

    Blackberry 9700 used inauzwa kwa bei tajwa. ipo dsm bahati mbaya sina kamera niweke picha kama upo interested ni pm namba yako na nitakupigia. serious buyers only.
Back
Top Bottom