Search results

  1. feya bugalama

    Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Uchaguzi wa serikali za mitaa umemalizika na chama tawala kimepita bila kupingwa baada ya wagombea wa upinzani kuelezwa na wasimamizi wa uchaguzi kuwa hawakukidhi vigezo na hivyo kuenguliwa. Hali hii imewaacha watazania wakiwa hawajui wafanye nini ili kupata viongozi wanaoendana na matwaka...
  2. feya bugalama

    Siasa na ushiriki wa wananchi

    Imekuwa ni mazoea kwa wanasiasa walioko madarakani kuwaasa wananchi kutojihusisha au kutotumiwa na wanasiasa licha ya kutowataja wanasiasa hao wanaofaa kuepukwa. Jambo hili licha ya kurudiwa Mara kwa Mara na viongozi kupitia majukwaa mbalimbali, lakini je ni kweli wananchi wanapaswa kujiepusha...
  3. feya bugalama

    Halima Mdee akamatwa na Polisi kwa tuhuma za uchochezi dhidi ya Serikali, ahojiwa na kunyimwa dhamana

    Dawa ya mpotoshaji si kumweka lupango Bali ni kumpuuza tu. Kama angekuwa anapotosha hata wananchi wasingeendelea kumskiliza Bali wangemzomea tu. Hivyo watanzania ni watu waelewa fika mpotoshaji na msema kweli ni yupi. Uboreshaji wa huduma za afya in miongoni mwa vitu vinavyooneka bayana kwa...
  4. feya bugalama

    Ziara ya Tundu Lissu iangaliwe kwa jicho la tatu na wapenda amani

    Umenena vizuri sana. Pamoja na hivyo nini chanzo cha yote anayoyashadadia lissu?. Kama serikali ingefanya uchunguzi wa kina na kuwapata wahalifu na pia bunge kumhudumia bila hiyana lissu asingekuwa na lakusema. Hata kama angeamua kusema kama unavyosema sababu ya uchu wa madaraka nadhani...
  5. feya bugalama

    Hoja ya Edo Kumwembe kuhusu Serikali na upinzani

    Anaitendea haki taaluma take.
  6. feya bugalama

    Iringa: Polisi wazuia mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa

    Si waajiri mapolisi wengine.
  7. feya bugalama

    Haikuwa sahihi msaada wa Rais kwa Ruge kutangazwa kwa umma

    Yamkin walipata kibali kutoka mhimbili but TL hakufanya Ivo. Naota japo Npo macho.
  8. feya bugalama

    Poleni watumishi wa umma: Siku zote haki huinua taifa na uovu/dhulma huangamiza taifa.

    Hii nchi inakoelekea sipajui kabisa. Hii inamaana waliopitisha wanafaa kuendelea kuwa wawakilishi?
  9. feya bugalama

    Tundu Lissu umeamini Jeshi la Polisi lisipoingiliwa linafanya kazi

    MO karudishwa Na watekahji kwa hiari yao si plc Kama unavyodai.
  10. feya bugalama

    Makosa ya Mtandao: Mbaroni kwa ‘kumtukana’ Naibu Spika, Tulia Ackson

    Hapo wala hajatukana amejaribu tu kuonesha namna shughuli au misafara ya mh inavyokuwa adha kwa watumiaji wengine wa barabara Na wakaaji wa maeneo husika
  11. feya bugalama

    Rais Magufuli apinga uzazi wa mpango, asema wananchi wanapotoshwa

    Hongera mh raisi. Tunahitaji nguvu kazi
  12. feya bugalama

    Rais Magufuli: Mh. Heche toa mkono mfukoni unapozungumza na mimi, wewe ni kama mwanangu wa kumzaa

    58m si fedha ambazo zinaweza kumaliza matatitizo ya jimbo hata 0.0001%. Pia haiingii akilin wanao ulizwa ni wabunge wa upinzani tu..je wa matumizi yao yakoje?
  13. feya bugalama

    Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Alipie tu kodi hakuna taasis ya serikali iko kuhujumu juhudi za mtanzania yeyote.
  14. feya bugalama

    Hujuma zingine Wagombea wa CHADEMA Simiyu

    Tukiwa majukwaani tunasifika kwa kuhubiri mshikamano lkn maisha halisi nje ya jukwaa yamejaa fitina na hayajengi taifa lente umoja bali utengano.
  15. feya bugalama

    Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

    Wazo la mleta Maana ni zuri lakini linachuki ndani yake. Huwezi muita mgonjwa na mtu anayepitia taabu Kama huyo et msaliti.
  16. feya bugalama

    Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

    Mhhhh Kama hali Ndo hii nadhan opposition parties kufikia 2020 wafanye kazi zingne na wanaccm asilia wasahau kidogo nafasi walizokuwa wanaziwania . Maana kipaumbele ni kwa wagen Kwanzaa
  17. feya bugalama

    2020: CCM tumteue Mama Samia kugombea Urais

    Aongezewe hata 10 mingine ili skill zitukae vzr.
  18. feya bugalama

    Mwigulu Nchemba asema vyama vya upinzani ni adui mwingine wa taifa awahusisha na matukio ya utekaji na uvunjifu wa amani

    Kukaa kimya hakumanishi huna cha kusema. Ukiwa na madaraka hata debate ikinoga kivipi kuwa makini kwa kila neno unalotaka kuongea.
Back
Top Bottom