Search results

  1. M

    Uchaguzi 2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

    Umesema vizuri sana "chama cha CCM kitachukua viti vingi sana vya UBUNGE" yaani siyo kuchaguliwa
  2. M

    Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?

    Kama ni kufuata matakwa ya walio wengi hiyo ndiyo demokrasia na haipingwi. Suala je ni wengi kutoka moyoni na fikra zao au ni wale ambao wanalazimishwa kufuata msimamo wa chama? Je umefuatia mjadala unaoendelea ktk bunge la UK ambapo wabunge wa chama tawala wanaungana na wapinzania kukataa hoja...
  3. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mkuu wanaruhusu hata wanaotamka wazi wazi kuwa wanataka wengine waishi kama mashetani. Maana yake ni kuwa kuwepo na mashetaani weeengi, ili mabaya yaongezeke na roho za watu ziangamie.
  4. M

    TBC, hamjapata habari kuwa Mbowe kapata dhamana?

    Mkuu, kama hutaki presha isiyo na sababu, wacha kuangalia TBC. Mimi niliacha tangu bunge live lizimwe.
  5. M

    Maneno mazito ya hukumu ya jaji Rumanyika dhamana ya kina Mbowe ina kiashiria kuna mahakimu wanafanya kazi kwa shinikizo la amri toka juu?

    Mkuu umesema "Sintashangaa basi, ili kufanikisha hili, kwamba serikali inashirikiana pia na baadhi ya mahakimu". Hili lisikushangaze, maana aliyetekeleza hili la akina Mbowe, tayari kesha zawadiwa ujaji. Nakumbuka alipoulizwa kama kuteuliwa kulikuwa na uhusiano wowote na uamuzi wake wa kufuta...
  6. M

    Kama ni kweli Lissu anaitukana nchi na ashitakiwe tu!

    Kama utawala wa nchi unaangushwa lakini wananchi wanaendelea kudunda hiyo unaionaje?.
  7. M

    Tundu Lissu: Profesa wetu wa sheria hajui sheria zetu?

    Ahaa sasa nimekuelewa nidyo maana umesema "akifika airport tu hata nyumbani hafiki tuna sukumia ndaniiiiiii"
  8. M

    Baada ya Kikwete kumkaribisha Lowassa, Bashe amwambia yeye ndiye alisababisha aondoke CCM

    Hivi kumwambia mtu ukweli hata kama ni baba yako, ni kumkosea heshima? Africa hatutasonga mbele kwa kutokuambiana ukweli.
  9. M

    Mshituko: Ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner imegongwa, ipo matengenezo

    Ama kweli kuishi kwingi, kuona mengi. Ukisema ukweli tu, basi wewe si mzalendo.
  10. M

    "Watanzania Tunaishi Kwa Kudra Za Mwenyezi Mungu Tuu!"-Mhe. Dr. Faustine Ndungulile. Jee ni Kweli?.

    Paskali unasema "Tusiwateua watu kwa shukrani kwenye key ministries na ukombozi wa taifa hili, lets give the key ministries to the professionals". Ni lini wananchi tulihusishwa ktk teuzi? Kwa nini tutwishwe mzigo usio kuwa wetu.
  11. M

    Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM akiwakilisha Vijana wa UVCCM TAIFA Mussa Mwakitinya akitoa maelekezo kwa vijana wa uvccm kuwapiga wapinzani

    Ni kweli mkuu, "acha watupige" huenda akili na macho yetu vikafunguka na kupata akili ya kutengeneza taifa la kuheshimiana.
  12. M

    Uliwaambia wanamamlaka ya kutuweka ndani, leo unawambia wasituweke ndani kimejiri nini?

    Kama mteuliwa ameshindwa kuangalia ukubwa wa kosa na kumsweka ndani mtu wa kulaumiwa hapo ni nani? Haya si ndiyo matunda ya kuteua asiye na upeo?
  13. M

    Dotto Bulendu: Tundu Lissu anahitaji majibu ya maswali yake siyo kebehi

    Hana ushahidi? Huu ni wajibu wa walioamrisha walinzi waondolewe, cctz zing'olewe etc
  14. M

    Maendeleo ya mkoa wa Kilimanjaro na elimu iliyo bora

    Ni sawa kabisa, lakini nini kinafanywa na awamu hii juu ya ukanda na ukabila? Si umesikia hata matamshi ya kutaka kanda fulani wasubiri kwanza? Hata bei ya umeme kwao imeongezwa tofauti na vijiji vingine chini?
  15. M

    Ujumbe wa Askofu Dk. Stephen Munga kwa kusanyiko la viongozi wa dini Ikulu

    Inategemea atakuwa amemsifia kwa kitu gani. JPM anayake ya kupongezwa pia
  16. M

    Zitto Kabwe: Tangu nimekuwa mbunge sijawahi kuona Hazina ya nchi yetu ikiwa shaghala baghala kama sasa

    Si nchi inanyooshwa? lazima aivunje vipande vipande ndiyo aiunganishe tena kwenye mstari wa maono yake
  17. M

    Swali kwa Mhe. Rais: Umesema kila Mbunge wa jimbo afanyie mikutano kwenye jimbo lake je Bashiri Ally na Hamphery Polepole ni wabunge wa jimbo gani?

    Hiyo mikutano yao ya ndani mbona nayo inazuiliwa? Kama ni chama tawala kukagua utekelezaji wa sera mbona mikutano yao ya hadhara imegeuka uwanja wa kushambualia upande mwingine, haswa cdm?
  18. M

    Swali kwa Mhe. Rais: Umesema kila Mbunge wa jimbo afanyie mikutano kwenye jimbo lake je Bashiri Ally na Hamphery Polepole ni wabunge wa jimbo gani?

    Upinzani wanatakiwa kueleza wananchi mapungufu ktk utekelezaji wa ilani ya ccm na kwa nini wao wangeweza kufanya vizuri zaidi. Kama hawaruhusiwi wananchi watakuwa wanalishwa wayatakayo watawala tu.
Back
Top Bottom