Search results

  1. H

    Kodi ya uzalendo!

    Salama humu ndani? Naenda kwenye hoja yangu, Tayari tumeanza kukatwa pesa nyingi za kutosha kwemye matumizi ya kawaida kila tunapotuma au kupokea pesa. Inazungumzwa ni kodi ya uzalendo je wabunge waliopitisha ongezeko hili kubwa wao pia ni wazarendo kweli? Kama kweli tuna nia moja ya kuleta...
  2. H

    Niliyoyaona Geita mjini

    Habari wana jamii forum, Nimebahatika kufika Geita Mjini na kuona mjini kwa kiasi unakuwa ingawa changamoto ni nyingi. Tatizo nililokutana nalo ni mamlaka muhimu kuendelea kukaa ofisini bila kutatua kero nyingi za wananchi. Lawama zangu zaidi ni kwa ofisi ya mazingira na idara ya afya...
  3. H

    Italy yaanzisha kadi ya kijani katika soka

    Italy yaanzisha kadi ya kijani katika soka Italy yaanzisha kadi ya kijani katika soka - MUUNGWANA BLOG
Back
Top Bottom