Bukoba tujilaumu kwa upofu wetu kuendelea kuchagua watu kwa majina na ushabiki wa kiitikadi bila kujali ni mustakabari maisha ya sasa na vizazi vijavyo. Tunawachagua wachumia tumbo sio wapenda maendeleo.
Ukiongelea stendi bukoba ni kweli haipo kwenye hadhi ya kuitwa stendi kuu ya mji soko pia haliko kwenye ubora hii pia hata kwa moshi stendi na soko ni yale yale ila moshi itapata sifa ya usafi
Nilichoweza kung'amua ni kwamba story zimekuwa nyingi kuliko uhalisia December 2015 tulishiriki kwa uwazi kwenye mkutano wa BUMUDECO ulioandaliwa na mbunge Lwakatare ukishirikisha wanakagera waishio nje ya kagera kila Mmoja aliondoka na katika mkutano ule akiwa ameridhika kwa namna ambavyo...
We unaota ndoto za mchana na yawezekana huijui OUT ila umeamua kudandia treni kwa mbele. Usiichukulie OUT kihivyo aisee kile chuo kina sifa zote na ukitaka kujua kuwa si pa mchezo tia pua yako uone muziki wake kisha uje uandike utumbo wako hapa.
Unafiki na siasa zisizo na mlengo ndo zinazotupeleka kusiko. Meya na baraza lake la madiwani ndo dira ya halmashauri kukiwa na meya ambaye ana vision na akawa creative basi mambo yataflow. hivi manispaa yetu imeingia mkenge kwa siasa hizi hizi unafiki pamoja na kwamba jimbo liko mikononi mwa...
Ndugu Umeongea kweli tupu.
Binafsi niliudhuria kongamano la BUMUDECO mwaka jana lilikuwa ni kongamano lilikuwa na mtazamo mpana na wenye kujenga shauku kwa wengi walioudhuria wakiwa na nia ya kuona mkwamo wa kimaendeleo kwa Bukoba ukifika kikomo.
wanakagera na wapenda wmaendeleo wengi...
Livinus Mikakati isiyo na utekelezaji au isiyoonyesha mwelekeo ni mikakati mfu. kwenye miradi ya Tushirikishane hawakutakiwa kuji commit kuleta mikakati mizito wasiyoweza kuibeba walitakiwa waweke malengo yaliyo ndani ya uwezo wao. sioni kama hiyo miradi tajwa ina uelekeo wa kutekelezwa zaidi ni...
Sio Mbunge pekee bali pia Meya na naibu meya nao wote wamekaa kimya sana hawasemi chochote wala kujibu hoja zetu.
Hii ni dharau ya hali ya juu na ni aibu kubwa kumuona naibu meya akiwa concerned na mambo yanayoendelea kwa wenzao lakini wakashindwa kujibu hoja zilizotoka kwa wananch wao.
mi...
Salaam ndugu zangu wana Tushirikishane.
Ni siku nyingine tena yenye kila dalili za kuwa na baraka zote za muumba wetu hivyo tuna kila sababu ya kumshukuru na kuomba rehema zake. Ni wiki moja sasa tangu niulize juu maendeleo ya utekelezaji miradi tajwa ndani ya mradi wa Tushirikishane lakini...
Mzee wangu Ramadhani Kingi
Pole sana kwa kutokutendewa haki katika kupata huduma kuu na muhimu kwenye maisha ya mwanadamu. ili ni tatizo ambalo linawakumba wengi na wengi hawajui wapeleke wapi kilio chao wanabaki kugugumia na kusononeka kisha kuitupia lawama serikali na hali kuna mtu kajitapa...
Sometimes utani Muhimu. japo kuoa au kuolewa nayo ni maendeleo.
Lindi bhana kwa sasa inaangaliwa kwa jicho la kipekee hasa kama ni mfatiliaji mzuri wa habari nadhani unaona PM anavyopajali nadhani tangu ameingia madarakani ameenda zaidi ya mara tatu hiyo ni ishara kuwa kilio chao kinasikika na...
Ndio maana nikasema nasikitishwa na Ukimya wa viongozi wetu katika miradi hii. kimya chao kinatujengea hisia kuwa haidha haipo au hawaoni umuhimu wa kutushirikisha. Wanatakiwa kufahamu kuwa hapa hatulalamiki kiitikadi bali tuko hapa kuhakikisha gurudumu linasonga mwisho wa siku wote tuushangilie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.