Search results

  1. M

    Vurugu ya mashabiki wa Yanga

    TFF tamko peke yake kuhusu kitendo walichofanya mashabiki wa Yanga halitoshi, hili tukio mnaweza kuliona ni dogo sana, ila tukio hili ni kubwa mno, tunapelekana pabaya, bila mashabiki wa Yanga na club ya Yanga kupewa adhabu, mashabiki wa Simba watakuwa na hali ya kulipiza kisasi na kwa umati wa...
  2. M

    Maandamano yafanyika Iran wakitaka Ayatollah aachie madaraka

    Baada ya maombolezo ya watu waliokufa kwenye ndege iliyotunguliwa kimakosa, raia waandamana kutaka mabadiriko ya Serikali na Ayatollah aachie ngazi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom