Search results

  1. chinyika

    Waliowahi kufundishwa na Rais Magufuli enzi za kufundisha kwake

    Kanifundisha alikuwa mhimili mkubwa katika somo alokuwa anafundisha.
  2. chinyika

    CCM chama bora cha siasa duniani

    Nakubaliana nawe mleta mada hii 100%.
  3. chinyika

    Ardhi na Maji zaondolewa TAMISEMI na kupelekwa Wizara za kisekta

    Safi sana mimi nafuatilia hati yangu tangu 2010 hadi leo, maafisa ardhi pale halmashauri ya Manispaa ya IRINGA ni miungu watu.
  4. chinyika

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atembelea ofisi za LHRC, akutana na Mkurugenzi wa kituo hicho

    LHRC ni tawi la CHADEMA. Hivi Mbowe ana miaka ishirini na ngapi tangu awe mwenyekiti wa CHADEMA? Chilonwa-Dodoma.
  5. chinyika

    Mavunde: Vyama vingi nchini vimesababisha kushuka kwa uzalendo kwa wananchi

    Umesema kweli Mavunde; Mh. Rais anatuhimiza kuunga mkono rasilimali zisiporwe na mabeberu lakini CHADEMA kupitia Lissu wanatetea wezi wa rasilimali zetu. Kuna uzalendo hapo jamani ktk vyama hivyo?
  6. chinyika

    UVCCM yawatakia kila la heri wanafunzi wa kidato cha sita

    Kila la kheri kidato cha sita. Mungu awalinde na kuwabariki mfanye mitihani salama na amani.
  7. chinyika

    Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

    Sawa, asante. Sent from my SM-J100F using JamiiForums mobile app
  8. chinyika

    Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

    Usahihi: nyama ya juu ya jicho la kulia.
  9. chinyika

    Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

    Mimi mara nyingi nyama ya juu ya jicho la kulia hucheza nini maana yake? Mshana naomba unijuze.
  10. chinyika

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Ni jambo la heshima sana Muungano wa Tanfanyika na Zanzibar kufikisha miaka 54 ukiwa imara na ambao ni wa mfano duniani. Faida za Muungano huu zipo nyingi za ktk nyanja za kisiasa, kijamii, kiuchumi na kiulinzi. Hongereni watanzania wote kwa maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wetu...
  11. chinyika

    CHADEMA isitafute mchawi, ni Mbowe

    Wanajukwaa mtakumbuka tangu Mbowe alipobadili gia angani Julai 2015 CHADEMA kumeingia ganzi kwa kushindwa kujigamba mbele za watu tena kwamba ni chama kinachopiga vita ufisadi na ni chama cha wanyonge. Sasa CHADEMA kimebaki kusubiri kudandia hoja badala ya kufanya siasa kisayansi kama...
  12. chinyika

    Hotuba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Hoja hujibiwa kwa hoja si matusi, tuvumiliane Msukuma kawashika vibaya.
  13. chinyika

    Hotuba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Spika wa bunge EAC amesema ni utumwa kutumia lugha za wenzetu wakati lugha yetu nzuri tunayo. Aibu yako kupigania lugha za kigeni na kupuuza lugha ya wazazi wako.
  14. chinyika

    Hotuba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Nimeamini nabii hakubaliki nyumbani. Hivi wewe nyumbu una tatizo gani?
  15. chinyika

    Hotuba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Kwa hotuba aliyoitoa leo pale Dodoma kwa wabunge wa EAC hakika, natamani Mungu akipenda Rais wa kwanza wa EAC kadiri utaratibu utakavyowekwa hapo baadaye basi awe Mh. Rais JPM. Chilonwa.
Back
Top Bottom