Search results

  1. I

    CCM dhidi ya Dawa za Kulevya

    Kama CCM itaanguka kwasababu ya kupambana vita dhidi ya madawa ya kulevya na ufisadi nipo tayari kuanguka nayo! Sintakuwa tayari kuwepo kwenye CCM yenye ufisadi na wauza madawa ya kulevya Ati wengine waitwe pembeni washauriwe halafu wengine wachukuliwe hatua za kisheria? No,nchi haiwezi...
  2. I

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Vita ya madawa ya kulevya ni vita kubwa mno Huenda ikaizidi hata vita ya mafisadi kwasababu mafisadi ni wezi wa fedha na wala rushwa sio mamafia. Mapapa wa madawa ya kulevya ni watu wakubwa,wenye fedha nyingi,wanasiasa wakubwa na viongozi wakubwa sana wa dini n.k. Mara nyingi hawa mapapa...
  3. I

    Kodi ni nyingi ni kubwa mno! Zipunguzwe

    Hali ya mzunguko wa fedha nchini ni mbaya na bei za bidhaa zinapanda kila siku. Sekta binafsi nyingi zinakufa Biashara zinakufa nyingi Ongezeko la kodi ni kubwa mno Karibu kila mwaka kuna ongezeko la kodi la asilimia 100 Itakuwa ni ndoto kuifikia Tanzania ya viwanda ikiwa kodi ni kubwa kiasi...
Back
Top Bottom