Search results

  1. Ludan Mushi

    Kassim Kaira wa BBC ana uwezo mkubwa wa kufuatilia na kuandika habari

    Huyo jamaa yuko vizuri tazama Azam 2 saa mbili ataripoti habari ya mapigano uganda kuhusiana na mgogoro wa kifalme na serikali ya uganda
  2. Ludan Mushi

    Tuhuma kwa wabunge wa CCM ni kubwa sana. Magufuli ni mwenyekiti wa CCM rushwa imetolewa makao makuu

    Kuna maneno aliongea raisi wetu " Natamani malaika washuke wazime mitandao ya kijamii" Nimewaza sana tuhuma za kuongwa kwa wabunge ili wapitishe mswada wa habari. Naona kama vile agizo la muheshimiwa linafanyiwa kazi Kama hizo tuma ni kweli hali ni mbaya sana . Nayakumbuka maneno ya raisi wa...
  3. Ludan Mushi

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Mm hata sioni wanachokifanya waandishi wa habari ujinga mtupu wanauliza maswahi ya hovyo sana
  4. Ludan Mushi

    Wadau mwenye tetesi za uhamisho wa watumishi wa umma atujuze

    Mwenye tetesi za uhamisho atujuze wadau maana kuna mama mmoja anaumwa sana hapa ni jirani yangu hali yake ni mbaya sana anamtoto wake alie mbali sasa ameniambia mwanae aliomba uhamisho tangia mwezi wa kwanza hadi leo ajapata alimwambia mama yake kwamba atapata uhamisho mwezi wa sita hadi leo...
  5. Ludan Mushi

    Maajabu ya wilaya ya Rombo-Kilimanjaro

    Wilaya ya rombo ni wilaya iliompakani mwa Kenya na Tanzania iliyo na hali ya hewa nzuri huku ikizungukwa na msitu mnene wa mlima kilimanjaro zao kuu la kibiashara ni ndizi na kahawa japo kahawa imepoteza thamani. Ni wilaya ilio karibu sana na jiji la Nairobi ni takribani masaa matatu au manne...
  6. Ludan Mushi

    Mkuu wa wilaya Arumeru amsweka rumande diwani na watendji wa kijiji kwa kutoona shamba la bangi

    Angekuwa wa ccm asingekamatwa sabbu ni wachadema diwani kazi yake ni kuwatafuta waalifu huo ni upuzi huyo mkuu wa wliya hajui majukumu ya diwani nn? Hizo ni siasa " KATIBA MPYA NI MUHIMU SANA"
  7. Ludan Mushi

    Makatibu tarafa wanahitajika Tanzania kwa nyakati hizi kweli?

    Toa maoni yako kuna umuhimu wa kuwa na makatibu tarafa kwel kwa nyakati hizi ebu tubadilishane mawazo na wewe ikiwa ni pamoja na majukumu yake na tofauti na mtendaji kata. Inabidi tuwe na mifumo mizuri ya ugatuzi wa madaraka huu mfumo wa kuwa na RC , DC na hii gazi ya tarafa sioni umuhimu wake...
  8. Ludan Mushi

    Tanzania Daima na Mtanzania ni kielelezo cha Tasnia goi goi ya Habari!

    Kwani hapo kichwa habari kataja raisi gani? Hata wewe hujielewi wapo maraisi wengi Afrika
  9. Ludan Mushi

    Kenya na umuhimu wake wa kuwa na sera za kitaifa

    Swali la kujiuliza ni kwann kenya imepiga hatua kubwa sana kwenye swala la kusambasa umeme . Kenya ndio nchi pekee walio na mpango wa kufanya swala la umeme kuwa haki ya kila mkenya . Kenye ndio nchi pekee walio na sera za kitaifa afrika mashariki na sera ya vyama ni siada. Kenya ndio . Je? Sisi...
  10. Ludan Mushi

    TCRA kufungia kipindi dhidinya kufungia Radio station

    Nahisi lingekuwa ni kosa la kichochezi ingefungwa hata hiyo station maana wapo watu hawataki tuwe tunahoji chochochote kuhusu utawala " nchi zote zenye demokrasia ya kweli wamekombolewa sababu wananchi wengi wanaelimu na mimi nawahimiza vijana waende shule ili tupate vijana walio na uwezo wa kuhoji"
  11. Ludan Mushi

    Je, uhamisho, kupandisha daraja, nyongeza ya mshahara lipo kisheria au ni hiyari ya serikali?

    Kuna kitu naomba kuuliza jamani wadau hivi kupandishwa daraja, nyongeza ya mishaara, uhamisho wa mtumishi lipo kisheria kweli maana hata sielewi utaratibu maana yanayofanyika nchini sijui ka yanafuata taratibu. Je? Hiyo nyongeza ya mshaara tangia mwezi wa saba hadi mida hii italipwa au...
  12. Ludan Mushi

    Kwa utawala huu wa Rais Dk. Magufuli, vyama vya upinzani vitafute kazi nyingine za kufanya

    Hela ya umma inanunua ndege alafu anakuja mtu anasema ni siri mikataba ya kibiashara haiwekwe wazi
  13. Ludan Mushi

    Clouds FM, fanyeni marekebisho kwenye kipindi pendwa cha Power Breakfast

    Taarifa ya habari nayo hamna kitu kama kwenye TV ndio hamna kitu kwana hawaend na mda vipindi havieleweki mdaa wa kuanza mara mda upite dakika kumi ndipo kipind kianze
  14. Ludan Mushi

    Waziri Nape, aiagiza TBC kupima maeneo yake

    Picha za tbc yaan ni za zamani mmo tumepitwa na nchi za afrika mashariki kwa ubora wa picha tunataka HD
  15. Ludan Mushi

    TWAWEZA, acheni kutufanya sisi watanzania ni wajinga

    Wakianda zile za upande mwingine wataitwa wachochezi ndio sabb wanaogopa na kutoa tafiti za upande mmoja
  16. Ludan Mushi

    Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

    Faida ni nyingi kwan zitaleta watalii ambao vijana wetu watapata ajira
Back
Top Bottom