Search results

  1. 28mkorinto

    TAKUKURU: Nassari na wenzie hawakuleta Ushahidi bali Taarifa, tunampa onyo kuongelea taarifa za uchunguzi hadharani

    Dying mzeee anatetea unga kwanza aiseee Tanzania kazi upo unapeleka ushaidi unaambiwa sio ushaidi ila tulitegemea na sidhani kama kuna issue yoyote itafuatiliwa. Kama watu walipiga pesa na ma sulphate mpaka leo issue.mmmh
  2. 28mkorinto

    CCM wateka nyara sikukuu ya wafanya kazi duniani MEI MOSI!

    Yani sasa hivi kila kitu siasa yani swala la wafanyakazi kuingiliwa na chama Shame shame inaonyesha jinsi gani wafanyakazi na wasomi ni virenga au misukule wa siasa nimekasirika sana na angalia movie zangu tena series za Korea
  3. 28mkorinto

    CCM wateka nyara sikukuu ya wafanya kazi duniani MEI MOSI!

    Yani kichekesho eti vyama vya siasa vimekaribishwa hahahahahahaha naona chichiem tu
  4. 28mkorinto

    Kilimanjaro: Kauli ya Rais 'Nimewasamehe kwa kuchagua upinzani'. Je, ni kosa kuchagua chama pinzani?

    Poleee Mimi wala zipo Tanzania ila ndugu zangu ndo wapi huko but wadogo zangu wote nawasomesha kwa hela yangu na wakati kuna board ndo maana I hate government siasa imekuwa nyingi
  5. 28mkorinto

    Kilimanjaro: Kauli ya Rais 'Nimewasamehe kwa kuchagua upinzani'. Je, ni kosa kuchagua chama pinzani?

    Tanzania hakuna upinzani bora ufe tuwe na chama kimoja then tuchagulie humo watu
  6. 28mkorinto

    Kilimanjaro: Kauli ya Rais 'Nimewasamehe kwa kuchagua upinzani'. Je, ni kosa kuchagua chama pinzani?

    Yani Mimi hata ndugu yangu tu akiniambia anapenda CCM ajue asikae anililie shida hata siku moja bora MTU uwe neutral ULA kuna miwatu inashabikia ujinga ambao mpaka kiongozi wao wakiona ujinga wakikataaa nao ndo wanakataaa sasa si uzombie huu jamani. Dah sijui Nani katuloga
  7. 28mkorinto

    Je, North Korea ina uwezo wa kumnyamazisha mmarekani

    Hahahahahahaha ndo uelewe sasa
  8. 28mkorinto

    Je, North Korea ina uwezo wa kumnyamazisha mmarekani

    Kasome urudi tena pumba tu
  9. 28mkorinto

    Je, North Korea ina uwezo wa kumnyamazisha mmarekani

    Unajua target za USA wewe au anaongea huyo Gaddafi yupo wapi, huyo sadaaam yupo wapi Noriega yupo wapi hawa jamaaa wakishafikia plan yao done mbaki mparangane yeye anajinyonyea wese kwa kwa mrija na kuuza silaha
  10. 28mkorinto

    Je, North Korea ina uwezo wa kumnyamazisha mmarekani

    Eti China imetoa nje duh shikamooo tanzania
  11. 28mkorinto

    Korea Kaskazini yasema itazamisha meli ya Marekani....

    Hahahahaha yani watu Wa naona NK ana ubavu kwa USA
  12. 28mkorinto

    Uzi maalum wa wanaJF ambao tuna imani kubwa na ushindi wa North Korea

    Kuna kuna vichaaa Tanzania namba moja nchi yenyewe wana nchi wake Wa natamani vita ili tu kiongozi wao aondolewe madarakani nashangaaa wabongo huku wanashabikia
  13. 28mkorinto

    USA vs N.Korea Military Power

    Hahahahaha hata Iddi Amin alisema ataipiga UK. Dictator huwa anaona hakuna kitu kinachoweza mgusa mpaka pale anapobanwa
  14. 28mkorinto

    USA vs N.Korea Military Power

    Movie nyingi mnazosikia za kikorea niza SK na sio NK
  15. 28mkorinto

    USA vs N.Korea Military Power

    Hakuna MTU alikuwa na bit kama Saddam Husain watu walijuia Ww3 iko wapi tatizo Wa to to wa juzi nyinyi. Russia na China ndo nchi pekeee zinazoweza leta vita ya tatu ma sio NK
  16. 28mkorinto

    USA vs N.Korea Military Power

    Hivi nyie nchi inakufa na njaaaa yenyewe hahahaha aiseee yani marekani atamchapa ataharimu sehemu zote wanazozani niza matengenezo au kurutubisha nyuklia anawaacha hapo China waawasaidia kuijenga subirini muone
  17. 28mkorinto

    USA vs N.Korea Military Power

    Hii vita haitachukua three days wataanza kujificha milimani ULA target ya USA kama kawaida yao ni Kim basi
  18. 28mkorinto

    USA vs N.Korea Military Power

    Kweli hapa mapimbi wengi hahahaha hawajui hata maana ya NATO duh
  19. 28mkorinto

    USA vs N.Korea Military Power

    Hawa jamaaa wadunchu sana kuanzisha vita ya tatu China mwenyewe ameshaanza mkataaaa
  20. 28mkorinto

    USA vs N.Korea Military Power

    Watu wanavituko ngoja vita ianze mtabaki mdomo wazi mmesahau Saddam na bit za kuangamiza dunia inaelekea watoto wa juzi nyinyi .Hawa NK mapemaaaa na wana nchi wake watapata fursa ya kukimbilia SK coz wanapatamania sana
Back
Top Bottom