Search results

  1. damper

    Jokate: Rais Samia anajiamini ndiyo maana ameruhusu Wapinzani waandamane

    Mzazi wako alikuwa dhaifu ndo maana alikufa kwa KIPINDU PINDU.
  2. damper

    Dkt. Mpango Muogope Mungu, Wanasiasa wanazika na kukuacha! Umetegwa ukategeka

    Mh. Mpango ana haki pia ya kulaumu, kuna kundi lenyewe lilikuwa haliulizi makamu yupo wapi, bali walikuwa wanailaumu serikali kwa kuficha msiba wa makamu wa rais. Watanzania tupo vizuri kwenye kugeuza maneno.
  3. damper

    Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Ajali haikutokea bwiru, jaribu kukumbuka vizuri. NIKO PALEEE NIMEKAA NAKUSUBIRI UJE KIVINGINE.
  4. damper

    Rais Mwinyi: Uchaguzi wa mwaka 2020 ulikuwa huru na haki, asema hatajibu upuuzi

    Bora mama yako angezaa sufuria au karai lingeisaidia jamii yako kuliko wewe.
  5. damper

    Kitabu cha kumsifu Hayati Magufuli cha Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole, ndiyo maana akahamishiwa Cuba

    Kama kuna watu wanadai Magu aliharibu maisha yao, basi ujue wao ndo walikuwa wa kwanza kuvuruga maisha ya Watanzania wengi. Alipokuja tinga tinga akasawazisha ngoma ikawa droo. NA HAPO NDO ALICHEZA DAKIKA 47 TU SIJUI ANGEMALIZA 90 HALI INGEKUAJE KWENU VIHIYO UNITED, VILAZA FC NA MAFISADI CAMP ???
  6. damper

    Hayati Magufuli alinunua ndege mbovu ndiyo maana sasa hivi ATCL wanahaha

    Wewe una sifa zote za UKILAZA, KIHIYO. ZUZU, BWEGE na USHOGA. Unategemea kwa tabia hizo ungepona kwa yule MWAMBA ? Sasa jamaa ana miaka miwili hayupo lakini bado unasumbuka na mzimu wake.
  7. damper

    Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    MAJIPU .....mna hasira utafikiri aliewapasua bado yupo[emoji16][emoji16][emoji16]
  8. damper

    LATRA hili la ving'amuzi ni uonevu uliopitiliza

    Sisi Watanzania tunaujuaji wakati mwingine wa kipuuzi sana. Sio kweli kwamba vile ving'amuzi hawavichezei ili visifanye kazi kwa uhalisia wake. Matajiri wa hayo mabasi mpaka watumishi wao wanajua vizuri michezo hiyo. UKWELI MABASI MENGI WAMEISHA CHEZEA HIVYO VING'AMUZI ILI KUKWEPA FAINI...
  9. damper

    #COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

    We ficha UPUMBAVU wako kwa kudhani Wazungu wote wana akili sana kuzidi weusi. Kuna mambo ambayo hata wao wabaki midomo wazi yamegunduliwa huku kwa weusi.
  10. damper

    #COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

    Waliopata chanjo mpaka sasa ni wa kutafuta kama unatafuta mchanga kwenye mchele. Magu alikuwa sahihi sana hata nchi za Ulaya wapo waliofata njia yake ya kupambana na corona.
  11. damper

    #COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

    Corona ilisingiziwa tu. Watu wamekufa kwa mengineyo. Ukweli hicho kirusi kingekuwa na uwezo waliousema Wazungu, basi hapa Tanzania ingekuwa mfano kwa vifo hapa duniani.
  12. damper

    Tukifanya Hivi, Kina Mwamposa na Manabii kuwa Walipa Kodi Wakubwa

    Mweleze huku mtu anaweza pokea ekarist hata kama hajatoa sadaka.
  13. damper

    Miradi ya kimkakati ikikamilika CCM inachaguliwa miaka 50 mbele hata bila kampeni!

    Na usisahau miradi ya maji na umeme mpaka vijijini. Hapo CCM itadhidi kudidimiza mizizi mpaka chini sana. KWENYE HUDUMA ZA AFYA MAMA AKIJUA KUCHEZA VIZURI .........HATASAHAULIKA KABISA.
  14. damper

    Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

    Lazima utakuwa unatokea kwenye ukoo wa VILAZA , kama sio wewe uliepitiwa na fyekeo la Mwamba basi ni jamaa za ukoo wako. Matapeli wote wana hio "multi skilled" ndo TUMA KWA NAMBA HII waleee.
  15. damper

    Shujaa Magufuli ametenda WEMA akaenda zake. Hakuna namna anaweza kuchafuliwa kwa sababu Hayupo, hili ni fumbo la kiimani!

    Mtajua kama ni taahira au sio wakati ukifika. Na hakutafanyika kosa kama la mwanzo .
  16. damper

    Shujaa Magufuli ametenda WEMA akaenda zake. Hakuna namna anaweza kuchafuliwa kwa sababu Hayupo, hili ni fumbo la kiimani!

    Alipo sasa hivi hata wa kwenu wapo huko au nyie ni special sana hamtakufa? Wewe mwenyewe inawezekana hata 2023 ukawa sayari nyingine.
Back
Top Bottom