Asante Kiogwe
Round Up ipo katika majina na bei tofauti kulingana na kampuni. Mfano Monsanto inaitwa hivo hivo Round Up, Twiga Chemical wanaita Gugusate, TCC wanaitwa Glyceri na Zaidi. Makampuni ninayoyajua yanauza bei ya jumla kuanzia (8500 mpaka 9500) kwa lita.
Round Up inaua majani...
RIJK ZWAAN ni kampuni iliyobobea kwenye utengenezaji wa mbegu bora za mboga mboga. Kwa tanzania tuna matawi mawili Arusha (Q SEM na AFRISEM). Pia tuna tawi jipya Mwanza na sasa Bagamoyo. Kutoka kwetu utapata mbegu za Nyanya (Round to Oval and Cherry) utakazoweza kuvuna kwa muda wa miezi mpaka 7...
Pole sana...
RIJK ZWAAN LTD haina uhusiano wowote na KIkwete wala Riziwani japo mara moja Kikwete ametembelea kampuni yetu makao makuu Holland. RIJK ZWAAN ni kampuni ya Mbegu bora za mboga mboga iliyoanzishwa na jamma aitwae RIJK ZWAAN, alizaliwa mwaka 1924 Holland, sasa ni kampuni inayoongoza...
Aksante kwa swal lako, mbegu hizo zitaota vizuri kwani tunatoa mbegu kutoka huko na tunakuja kuzizalsha Tz halafu zinaenda kuuzwa huko tena, lakini hakikisha unaziotesha kitalun kwanza kabla ya kuzpeleka shamba kwan zaweza zisiote vzr.
Tumia samadi kuziotesha na zipe joto la kutosha kwa...
Matikiti ni matunda, japo tunasema ni mboga kutokana na njia zinazotumika kuyazalsha kwan siyo tofaut na mboga.
Matunda yanaanza kukomaa kuanzia siku 80-120 kufuatana na aina, kama sugarbaby inakomaa mapema. Na il kupata matunda makubwa na yenye ubora, tunashaur kwa mti mmoja usiwe na matunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.