Search results

  1. rasChingu

    Kwa wauzaji wa used spare parts naomba kujuzwa bei ya gearbox ya rav4- 3s

    Wanajamvi kwa yeyote anayefahamu bei ya gearbox ya rav4-3s tujuzane ikiwa peke yake na ikiwa complete pamoja na engine.
  2. rasChingu

    Mikopo ya watumishi CRDB why imesitishwa?

    Nimetembelea tawi la CRDB kwa ajili ya kuprocess mkopo wakaniambia wamesitisha kutoa mikopo. Wenye uelewa zaidi juu ya hili naomba wanijuze usitishaji huu utaishia lini
  3. rasChingu

    Mwenye uelewa na bima za NIC

    Kuna jamaa yangu alijiunga na bima ya elimu miaka sita iliyopita hiyo bima iliiva last year March but until leo hakuna kinachoendelea ni subir tutakupigia, Chek wanaandika makao mkuu, yaani kila akienda ni maelezo tu. Kwa mwenye kufahamu huduma za hawa jamaa au jinsi ya kufuatilia tukutane.
Back
Top Bottom