Search results

  1. A

    Kagoda Haina Kesi, hawafikishwi Mahakamani Ng'o!

    Jamani tuhamie nchi ipi kupata mafunzo ya kuleta mapinduzi, mapinduzi ya kung'oa udhalimu, wizi, ubazazi na kila aina ya dhuluma katika jamii. Kwa nini kuna watu wenye hadhi zaidi ya wengine mbele ya sheria? Nani kasema Kagoda haijulikani, mbona iko wazi kabisa? Hawataki kuishitaki kwa sababu...
  2. A

    Nini Cha kujifunza toka kwenye Picha hii?

    Jk is a human too; does this act stop him for been a president? Kwanza watu wana akili finyu ina maana ukiwa Rais huna hisia za kibinadamu, huwezi kuiona walio chini, huwezi hata kutambua kwamba unaweza kufanya jambo kama binadamu wa nyama na mifupa tu? Tumekuwa mno na roho mbaya ya kudhani rais...
  3. A

    Pinda azidi kushangaa

    Pinda ameeleza hisia zake, lakini mjue kwamba kama mkuu wake hataki mashangingi yakomeshwe yeye afanye je? Kumbuka Rwanda aliyekomesha mashangingi ni Kagame mwenyewe, sasa kama Rais hafanyi hivyo mnataka Pinda ale sumu? Mashangingi ni suala la serikali kwa maneno mengine ni kazi ya Rais...
  4. A

    Federal republic of tanzania

    Do you that we have local authorities (City Councils, Municipal, Urban and District under the concellors from the localities, what is happening in these administrative areas? Ufisadi as usual. Ufisadi is not issue of central govt, it is attitude of mind. Discuss!
  5. A

    Gazeti la Mtanzania vipi?

    Kuna kitu kinaitwa Spin, tupebnde kuwaaminisha watu Pengo ameumbua wapiganaji vita. lakini kumbuka alikuwa anauliza dhamira si ya wapiganaji tu ila ya wale wanaostahili kuchukua hatua. Kwamba kila kukicha maovu yanongezeka. hata kama aliuliza wanapiga vita inatoka moyoni kweli au wamekosa nafasi...
  6. A

    Uteuzi Wa Viongozi Wazee

    Hapa tanzania kuna kitu kinaitwa recyclining of ledership. naomba niwieni radhi kwani nitataja majina hapa. Kwanza vikiria gavana wa BoT aliyestaafu yaani Rashid sasa ni CEO tanesco baada ya kujaribu Akiba Commercial bank na benki nyingine pia Voda; Mattaka David alikuwa CEO wa PPF akaachwa...
  7. A

    Baada ya Kutoka Ufaransa na Italy, JK kuelekea China Jumatatu

    Tatizo hapa si mkutano wa China, ila ni kuchangamkia kila safari. Napenda kuwapa changamoto, tafitini kama marais waliomtangilia walikuwa wakihudhuria General Assembly kila mwaka. Huyu wetu mwaka jana alienda na mwaka huu pia tena kakaa US siku kama 24 hivi, halafu Italy na France siku 8 baada...
  8. A

    This day wamepotosha picha kumfanya rais aonekane mjinga?

    haya ni makosa ya kiuandidhi tu. Ila kasheshe ni kwamba fedha zilizochangwa ni $200,000 au 300,000. hapo ndipo kazi ilipo. Lakini juu ya yote wakubwa wote walohusika hawakuwa na hata nafasi ya kuosma maandishi hayo, au ndiyo disgn ya mikataba yetu. kama wengine wanavyofuta kwa kalamu wakiwa...
  9. A

    Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

    Ninajiski kuumwa kichwa kwa sababu tunajirahisisha sana. Hivi hizi tuhuma zinaazia wapi? Uraia wa Tanania unaanzia wapi na unaishia wapi? Mbona watu wanapika majungu na kuyapakua yangali mabichi. Hoja hii imechochewa na wivu, tena nasema wivu wa kike kama alivyopata kusema Spika Mstaafu Msekwa...
Back
Top Bottom