Search results

  1. H

    Utabiri wa Mwalimu unatimia: CUF lazima ife tu!

    Hivi watanganyika wananufaika vipi na huu muungano. Nionavyo mimi wanzanzibar ndo wanafaidika zaidi, iweje hawautaki muungano? au hawaelewi hilo?
  2. H

    EXCLUSIVE: Ushirikiano wa Makampuni ya Mafuta na CCM

    Wabongo tumezoea kulalamika, kunung'unika na kusikitika hata ukiwekewa kidole machoni, am sure wengi wetu tumepitia JKT, tunajua kutumia zana mbali mbali, tunajua mbinu za medani nk.Twendeni front kama wenzetu wanavyofanya, it is very easy to get rid of these stupid Fisadis, ni waoga mno hawa...
  3. H

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    CCM imeshaoza vibaya mno, hawawezi kutoa gamba, labda watoe na minofu yote iliyoza, kubadilisha secretarieti pekee hatasaidia kurudisha mvuto kamwe
  4. H

    Hodi hodi hodi

    Ahsante kwa maelekezo mkuu, unajua ugeni tena ndo kwanza nimeshuka mjini toka nyarugusu
  5. H

    Hodi hodi hodi

    Hi Guys Naomba kukaribishwa ndani ya nyumba hii, I am highly impressed with your discussions
Back
Top Bottom