Search results

  1. O

    Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    Habari WANA JAMIIFORUMS leo nimeamua kukuletea somo ambalo ungelipia katika FORUMS nyingine na somo hilo ni Jinsi ya kutengeneza video game katika Computer yako. Kabla ya kuendelea ningependa kutegua kitendawili ambacho wengi hamna majibu na ukimuuliza IT ambae yuko karibu na wewe. Na IT huyo...
  2. O

    Jinsi ya kuroot simu yako (smartphone)

    Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani, biashara, nk. Haya yote hufanywa na Program ambazo huwekwa kwenye mfumo wa simu (Operating System). Programu hizo hubeba maaginzo maalum (Set of...
  3. O

    Niulize jinsi ya kutengeneza game

    Mimi ni Omary, fani yangu ni game development kwa sasa nimesha tenzeneza game nyingi likiwepo ujiji race hivi karibuni nitali upload on playstore. Sasa niulize jinsi ya kutengeneza game.
Back
Top Bottom