Search results

  1. O

    Tujifunze kutengeneza game

    Karibu katika ulimwengu wa V_Game Kwani Hakuna Fani rahisi Duniani kama Kosi Ya Game Developer Kitu Kigumu ktk fani hii ni Game Dsn tu. Kama unahitaji Kujifunza Basi Jifunze Huku Ukiamini Utafanikiwa kwani Kunawatu Watakukatisha tamaa kama huyu Jamaa Chief-Mkwawa. Fani nii inaweza kukubadirishia...
  2. O

    Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    follow me on Facebook Page UJ Game Studio so that we want to know game maker
  3. O

    game development

    unacho kitafuta hiki apa bofya hapa
  4. O

    game development

    ndi ndio ninamaana hiyo kwani ndio ninayo itumia
  5. O

    Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    kwawale wanao itaji kujifunza lugha ya Computer upande wa game developer kaa mkao wa kula hivi karibuni nitaanza ku toa fanii hio bure.
  6. O

    game development

    unajuwa ndugu yangu blender ni software kwa ajili ya kumodel na ku-Animation object tu sasa ukisha maliza ku model object yako kinacho takiwa ni kuiingiza katika Engine yako mfano kama unatumia Unity3D hapo ndipo utaitajika kuiCode object yako
  7. O

    game development

    sijakuelewa una maana gani labda nikuulize swali kwani unatumia program gani
  8. O

    game development

    bofya hapa kama unataka kujuwa Unity3D
  9. O

    Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    poa wazo zuri. siunajua siku hizi makampuni yetu na maana ya voda, Tigo wananunua Game na nimesha wauzia SmartTuition.
  10. O

    Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    Hivi punde nita upload game nyingi sio hilo tu kwani Game ambazo zilizo kuwa tayari ni nyingi na nina subiria zifike Game hamsini ili nikiz-Publish nipate % fulani
  11. O

    Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    nipo hapa kukujibu swali lolote kuhusiana na fani hii ya game maker
  12. O

    Niulize jinsi ya kutengeneza game

    unatakiwa ujuwe c# na jav kwani nirahisi sana bofya hapa ili ujifunze kwanza Program Skill kwani huwezi kutengeneza game au kitu chochote kama huijui program husika
  13. O

    Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    Habari WANA JAMIIFORUMS leo nimeamua kukuletea somo ambalo ungelipia katika FORUMS nyingine na somo hilo ni Jinsi ya kutengeneza video game katika Computer yako. Kabla ya kuendelea ningependa kutegua kitendawili ambacho wengi hamna majibu na ukimuuliza IT ambae yuko karibu na wewe. Na IT huyo...
  14. O

    Mwalimu mzuri wa computer languages

    kama unahitaji kujifunza c# za kutengeneza game njoo chuoni kwetu mlimani au tuwasiliane msafiryo01@gmail.com
  15. O

    NATAFUTA MWALIMU WA COMP. PROGRAMING ... JAVA

    kama utaitaji fani ya game developer tuwasiliane msafafiryo01@gmail.com
  16. O

    Jinsi ya kuroot simu yako (smartphone)

    Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani, biashara, nk. Haya yote hufanywa na Program ambazo huwekwa kwenye mfumo wa simu (Operating System). Programu hizo hubeba maaginzo maalum (Set of...
  17. O

    Niulize jinsi ya kutengeneza game

    Hapana ni Nazi rahisi hivi punde nitaanza kutoa mafunzo humu humu
  18. O

    Niulize jinsi ya kutengeneza game

    Tayari ni pm niku add
  19. O

    Niulize jinsi ya kutengeneza game

    Ndugu yangu tusipotoshane hicho kitu unacho zungumzia hakipo huwezi kujuwa code za game ambalo tayari limekwisha kuwa video game ninataaluma na hichi kitu labda iyo engen tofauti na unity na unreal ninazo tumia Mimi .
Back
Top Bottom