Search results

  1. J

    Jamani NACTE wananiambia 'Update Qualification', hii maana yake nini?

    Jaman mimi ni diploma holder nime-aply kwenda degree ,,NACTE walishafanya tathmini ya vyeti vyangu na kuniambia "requred qulification found" Lakin cha kushangaza leo nakuta wananiambia "update qulification " na inagoma ku update hii maana yake nin jaman????
  2. J

    msaada kuhusu degree aplication

    hivi wadau kwa wale diploma holder mlio aply kwenda degree iv ni vyeti gan vinavyoitajika kuaplod kwenye system??? plz vitaje vyote.
  3. J

    mbona vyuo vingi watu wa diploma vinatutaka wachache????(capacity ni ndogo sana)

    daaa habari wana JF nauliza hivi ukiangalia guide book ya diploma from tcu kila chuo nacho angalia naona wanafunzi wanaoitajika kwa kila coz ni wachache je ni kwamba watu wa diploma tupo wachache sana au ni vp>?????
  4. J

    Msaada kuhusu sisi tuliolipa hela kupitia NACTE inakuwaje?

    samahani jaman msaada plz mim nataka kuendelea na degree nililipa pesa yangu nacte kabla hawajasema tunatakiwa kuaply TCU je kuna tamko lolote limetolewa kwa sisi tuliolipia nacte au ndo pesa imeliwa???
Back
Top Bottom