Search results

  1. Deusdedith Boniphace

    Naomba msaada kwa hili wadau

    Naomba ufafanuzi juu ya kuomba vyuo!! Nimemaliza dip mwak 2014 na overall GPA yang ni 3.7. Nishaomba mkopo Loans Board. Kama nijuavyo kwetu sisi tuliomaliza dip tunafanya maombi kupitia NACTE lakini NACTE walishafunga.Vipi naweza omba kupitia TCU au baadae NACTE wataruhusu tena watu kuomba?
Back
Top Bottom