Search results

  1. M

    Kikwete anakuja USA tena - This December

    Jamani JK ankuja huko,naomba mumulize ivo serekali inaendeshwa na nani??? Wizara ya maliasili na utalii ilipandisha bei ya hunting blocks pamoja na wanyama na ilitegemewa kuleta mapato ya ziada billion 33.6 mwaka wa fedha 2007/2008.Bajeti ya wizara hiyo ilipita bila kupingwa na wabunge wa CCM...
  2. M

    Ni kweli Hazina hakuna Pesa?

    Jamani sikilizeni natoa mfano Mmoja ili muone siajabu hazina kuwe hakuna fetha.Waziri wa maliasili na utalii aliongeza bei za uwindaji wa kitalii na kuzidisha mapato kwa billioni 33.6. Fetha hizo zilitakiwa kukusanywa by SEPT 30,2007.Lakini mpaka leo Mkurugenzi Wa Wanyamapori hakukusanya kwa...
  3. M

    Sijui kama hii nayo ni breaking news au vipi: Hatimaye JK avunja baraza lake!

    Please Guys dont underextimate JK he knows what is doing WATCH OUT and u will appreciate
  4. M

    Katibu Mkuu ashinda kwenye banda la Tanzania akiuza utalii London

    JAMANII HIYO SIYO KAZI YAKE KATIBU MKUU KUKAA KWENYE MABANDA,AMEIKIMBIA KAZI YAKE YA UTENDAJI HUSUSAN ILE YA KUKUSANYA BILLION 33 ZA NYONGEZA KWENYE UWINDISHAJI WA KITALII.AMBAPO MATAJIRI WENYEKUMILIKI VITALUU WAMEKATAA KULIPA ADA MPYA AMBAPO DEADLINE YAKE ILIKUA TAREHE 30/09/2007 NA BADO...
  5. M

    Kikwete hana ubavu wa kuvunja baraza la mawaziri

    I think we need pace kwenye mabadiliko ya mawaziri especially Fetha,Biashara na madini.Lakini JK kusafiri nje sana ni muhimu he need to give donor countries confidence and explain his vision thats why we have seen donor disbursement in time this year .KWA HILO TUMPE BIG UP
Back
Top Bottom