Search results

  1. Mlongachalo

    Ushauri: Kuna mwanamke ananipenda lakini mimi naishiwa hamu kwa kuwa ananuka mdomo

    Habari wandugu, Kuna mwanamke analazimisha mahusiano ya mimi na yeye tuwe pamoja na ikibidi nimuone. Ila cha kushangaza napokutana nae kupiga stori mbili tatu yeye anatoka kwenye point ya mazungumzo na kuaanza kutaka tufanye mapenzi. Huwa najitahidi kumkatalia lakini ananibembeleza mpaka mwisho...
  2. Mlongachalo

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke niliyezaa nae lakini anataka tuishi wote

    Natumai nyote ni wazima, Kuna jambo naomba niwashirikishe wadau. Kuna binti wa kimbulu alinichomekea na kumpa mimba bila ya mimi kuwa tayari kuwa nae. Hakuwa anafahamu undani wa maisha yangu na mimi pia sikuwa najua. Mahusiano na yeye yalikuwa ya muda usiozidi siku 40. Gafla naambiwa...
Back
Top Bottom