Search results

  1. Pulchra Animo

    Dkt. Bashiru ana baraka zote za wenye nchi. Nadhani kauli za "anaupiga mwingi" zinamkera hata Rais Samia

    Ni bahati mbaya sana kwamba sisi tumekuwa na tunaendelea kuwa taifa la chawa (left, center and right). Ukitaka kujua ukubwa wa hili tatizo, angalia kule upinzani hali ikoje. Mwanachama wa CHADEMA, kwa mfano, akidiriki kumpinga Ayatollah Mbowe, BAVICHA na BAWACHA, bila kupoteza muda, wanamzika...
  2. Pulchra Animo

    Rais Samia hana mchezo wala subira kwa atakayechezea fedha za umma

    Ukimaliza jokes zako tuambie ili tuanze kuongea mambo ya msingi!
  3. Pulchra Animo

    Kitila ampinga Muhongo kuhusu Tanzania kushuka Uchumi wa Kati

    Hangaya ameshasema wananchi inabidi muanze kuzizoea tozo, kwasababu tozo zaidi (za barabara) ziko njiani zinakuja!
  4. Pulchra Animo

    Kitila ampinga Muhongo kuhusu Tanzania kushuka Uchumi wa Kati

    Kuwa na uchumi mkubwa kwenye makaratasi ni meaningless kama maisha ya mwananchi ni duni kuliko yanavyopaswa kuwa kulingana na takwimu!
  5. Pulchra Animo

    Kesi ya Mdee na wenzake: Shahidi Nusrat Hanje amuomba Jaji warudi kwenye Vikao vya CHADEMA wakayamalize

    Huna hoja. Yaani aliwaona Mdee, Matiko na Bulaya kuwa ni miongoni mwa wale wasio wakosoaji?
  6. Pulchra Animo

    Kesi ya Mdee na wenzake: Shahidi Nusrat Hanje amuomba Jaji warudi kwenye Vikao vya CHADEMA wakayamalize

    Fikra zingine hazina hadhi ya kuitwa fikra. Unaingizaje mtu Bungeni kwa mtutu wa bunduki ili ukamlipe mamilioni ambayo watu wengi wako tayari kuua wenzao kwa ajili yake?
  7. Pulchra Animo

    Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

    Kuna watu wameshikiwa akili na watu wengine. Hawajui kwamba kuna political assassins ambao hawatumwi na mtu yeyote. Kwa mfano, yule chizi aliyevamia nyumbani kwa Nancy Pelosi na kumjeruhi mume wake kwa nyundo alitumwa na nani? Hawa machizi wetu wa hapa wangekuambia alitumwa na Trump!
  8. Pulchra Animo

    Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

    Kabisa, that guy is a piece of shit!
  9. Pulchra Animo

    TAHLISO waionya Chadema

    Tangu lini mtu mwenye njaa akaweza kuenenda kama msomi? Professors wenyewe wanaopewa hizi assignments na watawala wanaweka usomi wako mfukoni, sembuse hawa pimbi ambao hata shahada ya kwanza hawajapata!
  10. Pulchra Animo

    Biswalo Mganga hana makosa. Plea bargaining ni kwa mujibu wa sheria. Hakuna pesa iliyoingia mfukoni kwa mtu. Zitto ni mpenda sifa za kijinga

    Kitu kinachofanyika kwa idhini ya mahakama hakiwezi kuhojiwa na kubatilishwa nje ya mahamaka. Nionavyo mimi, hili ni swala la kifedha (fedha ya umma) ambalo linaangukia kwenye himaya ya CAG. Tukitaka kila mmoja wetu awe CAG hapa, nchi itakwenda ubenibeni!
  11. Pulchra Animo

    Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

    Wana mfumo wa ajabu. Kila chuo kinapaswa kuwa na law school yake. Na jukumu la law school sio kumuandaa mtu kufaulu mtihani wa uwakili. Bar exam has nothing to do with law school. Sio kila law student anataka kufanya bar exam!
  12. Pulchra Animo

    Wadau wapinga Rais Samia na Makamu wake kuingia na Viti binafsi Kanisani, yadaiwa ni kujikweza

    JPM alikwenda chuo kikuu katika official capacity yake. Kiongozi akienda kanisani anakwenda kama muumini, haendi kama kiongozi wa Serikali.
  13. Pulchra Animo

    Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

    Waje waongee nini na Rais ombaomba? Rais anayejialika mwenyewe kwenye nchi za watu hastahili mapokezi yoyote ya kidola. Kupokelewa na kina Mange ndiyo stahili yake. Yaani Rais mzururaji naye ategemee marais wa nchi wenyeji waache shughuli zao ili waje kumpokea. Hiyo haitokei; wenzetu wanajitambua!
  14. Pulchra Animo

    Watanzania watu wa ajabu, wanapenda maendeleo lakini hawataki kugharamia hayo maendeleo kwa kodi

    Lawama zako kwa wananchi zinakinzana na ulichokisema kwenye hiyo paragraph. Serikali imeshindwa kutengeneza hayo mazingira, lakini wewe unataka wananchi waunge mkono hizo tozo bila kujali kama wana vyanzo vya pesa ya kulipa hizo tozo au la.
  15. Pulchra Animo

    Kwa maelezo ya Mwigulu kuhusu trilion 360, maneno ya Tundu Lissu yametimia

    Unapoteza muda bure. Kuna watu wamewaachia watu wengine kazi ya kufikiri. Brains zao hazina kazi yoyote ya maana tena!
  16. Pulchra Animo

    Tsh. Bilioni 3 kutumika kusaidia Samia Scholarship

    Uchawa ndio unaolimaliza taifa hili. Chawa ni wengi mno!
  17. Pulchra Animo

    Tsh. Bilioni 3 kutumika kusaidia Samia Scholarship

    Mimi sifiki hata huko kwenye transparency ya mchakato. Swali linalohitaji kujibiwa kwanza ni: je, hiyo pesa ni ya Samia au ya Watanzania? Kama ni ya Watanzania, basi huo mpango unapaswa kuitwa jina linaloakisi wenye pesa. Kuuita Presidential Scholarship ni afadhali mara elfu kuliko kuuita Samia...
Back
Top Bottom